Polepole atoa taarifa rasmi ya CCM kuhusu kifo cha Rais Magufuli. Kamati Kuu ya Chama kufanya kikao maalum Jumamosi, Machi 20, 2021

Polepole atoa taarifa rasmi ya CCM kuhusu kifo cha Rais Magufuli. Kamati Kuu ya Chama kufanya kikao maalum Jumamosi, Machi 20, 2021

Mama Samia ndio Rais wa Tanzania kwa sasa... Makamu wa Rais atakuwa Kasim Majaliwa.

Watu wa kanda ile naona mnakesha kwa waganga kwaajili ya umakamu wa Rais
 
Tunawakaribisha Waandishi kwenye press conference saa nane leo, hapa ofisi Kuu za CCM Mkoani Dodoma,

Tafadhali mjulishe na mwenzio usikose mkutano huu muhimu.

Moto wetu: Alipo tupo
''alipo tupo'' alipo hampo mnajifariji tu na nyie mkichongewa majeneza mtaingia, kubalini sasa hayupo tena ondoeni ile dhana ya kutawala milele
 
Tunawakaribisha Waandishi kwenye press conference saa nane leo, hapa ofisi Kuu za CCM Mkoani Dodoma,

Tafadhali mjulishe na mwenzio usikose mkutano huu muhimu.

Moto wetu: Alipo tupo
Mwenezi wetu anajua kutabasamu hata nyakati ngumu za misiba
 
Mama Samia ndio rais wa Tanzania kwa sasa... Makamu wa rais atakuwa Kasim Majaliwa.

Watu wa kanda ile naona mnakesha kwa waganga kwaajili ya umakamu wa rais
PM hawezi kabisa kamwe kua VP..nasema hivi hawezi na abakie huko huko kwenye upm kama atabahatika kuendelea
 
Kwa sasa inabidi wakae kimya tu... Washazoea kutuona ma-zombie, Bado wanaamini wataendelea kutugeuza watoto tu asee?
 
wanatuchanganya tu !! watuache kwanza - Mzee kaumwa wee wanasema yupo ofisini anachapa kazi... haya tuambieni leo ni kazi ipi alikuwa anafanya?

CCM bana sijui watakua lini?
Dah... mwaka huu si mchezo
 
wanatuchanganya tu !! watuache kwanza - Mzee kaumwa wee wanasema yupo ofisini anachapa kazi... haya tuambieni leo ni kazi ipi alikuwa anafanya?

CCM bana sijui watakua lini?
Wewe kama hujui kaa kimya
 
😏😏😏
Na Tuna omba chonde chonde sifa zote alizokuwa ana sifiwa Bwana yule sasa zirudi kwa 'Mama! Yani 'Mama wewe ni mkarimu kama sio wewe leo umeme ungekuwa umekatika!
Tafadhali sana sifa kwa mama wapige na wimbo wa bella ebow haki sawa
 
Tunawakaribisha Waandishi kwenye press conference saa nane leo, hapa ofisi Kuu za CCM Mkoani Dodoma,

Tafadhali mjulishe na mwenzio usikose mkutano huu muhimu.

Moto wetu: Alipo tupo
Huyu mwamba kinachomfanya atabasamu ni nini?
 
Wahuni tu hawa hawana lolote, walishindwa kumshauri mwenyekiti wao kujikinga na Corona sasa sisi watatueleza nini.
 
wanatuchanganya tu !! watuache kwanza - Mzee kaumwa wee wanasema yupo ofisini anachapa kazi... haya tuambieni leo ni kazi ipi alikuwa anafanya?

CCM bana sijui watakua lini?
Wewe kama hujui kaa kimuya
 
Tunawakaribisha Waandishi kwenye press conference saa nane leo, hapa ofisi Kuu za CCM Mkoani Dodoma,

Tafadhali mjulishe na mwenzio usikose mkutano huu muhimu.

Moto wetu: Alipo tupo

-Epuka mikusanyiko isiyokuwa na ulazima.
-Practice socail distancing.
-Tumia "SANTAIZA".
-Vaeni barakoa.
-Naweni mikono mkienda kwenye huo mkutano.

Taratibu ni zile zile hazijabadilika.
 
Back
Top Bottom