Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole kwa kuondokewa na mpwa wako mkuu!!Anaenda Kututangazia kuwa sasa anarudisha zile zile Akili zake za Polepole wa zamani au anaendelea tu kuwa Mnafiki na Mzandiki wa nyakati (Awamu) hii?
Yametimia!! Leo hii anakoromewa na KihongosiHuyu naye kiburi kwisha
Madaraka ni koti la kuazimwaYametimia!! Leo hii anakoromewa na Kihongosi