Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kipindi cha mwendazake alikuwa anajiona kama mungu wa piliBaada ya kunyang'anywa V8 naona akilizake kamili zimemrudia...[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi cha mwendazake alikuwa anajiona kama mungu wa piliBaada ya kunyang'anywa V8 naona akilizake kamili zimemrudia...[emoji23][emoji23]
Unaweza kufikiri kwamba una akili ukiwa miongoni mwa vilaza lakini ukichanganywa na vipanga uwezi kujitambua.Wewe aliyekuambia kuna Vaccine ya Covid-19 kwa sasa ulimwenguni nani? Tupe reputable sources za approval ya Covid-19 vaccine unazozifahamu. Medical expert says it takes more than ten years to develop an arguably effective vaccine for any disease.Astrazeneca,sinopham,sinovac,pfizer ,Johnson and Johnson zinazoitwa chanjo they are nothing but merely viongeza kinga za mwili and if thats the case hakuna ulazima wa kuzitumia kwani kuna njia nyingine mbadala ya kuvipata isiyokuwa na disclaimer na ni kula vyakula vyenye uwezo wa kuimalisha kinga za mwili naturally.uwezi kumwelewa polepole kwani uwezo wako umefikia kikomo brother believe me.Yaani akili yako yoooote ndiyo imeishia hapo? Kwani hata Elementary Biology hujawahi kusoma?
Tangu uzaliwe hadi leo kuna vaccines ngapi umewhai kuchanjwa? Kuna vaccine unachanjwa ukizaliwa tu, wala hata wazazi wako hawajui. Kuna vaccine nyingi mno, ya ugonjwa wa Njano, Malaria, tetenasi, reprosy etc etc etc
Akili yako iko centred kwenye libido, kama Botha alivyokuwa anatukana watu weusi SA kuwa akili zao zinaishia kwenye libido!!!!!!!!!!!!!
Chanjo hususani ya J&J ina hali ya kushusha chini kinga ya mwili kabla mwili haujajiimarisha na kuanza kutengeneza tena kinga. Sasa, ktk kakipindi hako ka mpito ukikutwa una tuugonjwa twetu utu kama ukimwi, sukari, presha, seli mundu, tezi dume, na mengine yanayofanana na hayo; Umekwenda!Naomba kujua ni kwanini wale wanaotumia Dawa za ARV's ( Waathirika ) wa UKIMWI ( Dally Kimoko ) hasa hapa Mkoani Dar es Salaam na Dodoma niliobahatika Kukutana nao wanapinga na hawataki kabisa Kuchanjwa wala kuusikia Msamiati wa Kulazimishwa ( Kulazimishana ) Kuchanjwa?