wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
..Yap!...nadhani msimamo wake wa kiimani umehusika pakubwa kuikataa chanjo.
Lkn msimamo wake wa kidini uliruhusu watu wabambikiziwe kesi za uhujumu uchumi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..Yap!...nadhani msimamo wake wa kiimani umehusika pakubwa kuikataa chanjo.
Naomba kujua ni kwanini wale wanaotumia Dawa za ARV's ( Waathirika ) wa UKIMWI ( Dally Kimoko ) hasa hapa Mkoani Dar es Salaam na Dodoma niliobahatika Kukutana nao wanapinga na hawataki kabisa Kuchanjwa wala kuusikia Msamiati wa Kulazimishwa ( Kulazimishana ) Kuchanjwa?Kupitia ukurasa wake rasmi wa Facebook, alipokuwa akiongelea kuhusiana na muziki wa Singeli, sentensi yake yamwisho ilikuwa ni kutoa msimamo wake kuhusu chanjo, amesema chanjo ni hiyari nayeye hatachanja.
Huyu ndiye Polepole ninayemfahamu, Mungu akujalie ufike mbali, kile kiti kinakufaa kabisa.
Uko nyuma sana. Tuko Phase IV. Ni ya monitoring real vaccination. Hakuna placebo hapo au dada yakeKatika utafiti wowote ule wa chanjo lazima kunakuwa na makundi mawili ya watj wanaoshiriki utafiti huo. Kundi la kwanza linaitwa CONTROL!! Hili huwa linadungwa maji matupu kwa lugha ya kitabibu yanaitwa placebo!! Kundi la pili linaitwa EXPERIMENTAL!! Hili kundi la experimental ndo hudungwa chanjo yenyewe inayolengwa! Halafu maisha ya watu kwenye makundi haya mawili hufuatiliwa kwa karibu kwa miaka zaidi ya kumi!! Wahamasishaji wa chanjo wao mara nyingj huchanjwa placebo!! Haiwezekani kwenye utafiti wasiwepo waliodungwa placebo!! Ila ni vizuri kwa waliodungwa placebo kuweka wazi hilo!! Ikiwezekana watu wapewe option ya kuchagua kuwa kwenye kundi la CONTROL au EXPERIMENTAL!! aana kitalaam haya makundi lazima yawepo!
Mkuu Mchambuzi, Polepole pamoja na ubabaishaji wake wote ktk nyanja za kisiasa, lkn katika mambo ya kiroho anajitambua sana.Comrade kwa hiyo unavutiwa na Polepole?
Ukiona amesema mwenyewe kuwa hatochanjwa basi jua ni 50+We Màtaga Acha ujinga,wanatakiwa juchanjwa ni wale wenye miaka 50+ au wenye changamoto mbalimbali.
He huyo Polepole wako ana miaka 50.
Mimi nimekataliwa...Hao ni wanaopewa kipaumbele, ila nyumbu yeyote anayejitokeza anachanjwa kama unabisha nenda uone kama hudungwi[emoji23]
Hizo chanjo za utotoni moja wapo ni kifua kikuu ambacho kinaenezwa kwa hewa kama corona. Sasa jiulize kwa nini miaka yote hukuambiwa uvae barakoa baada ya kupata chanjo ya kifua kikuu ila unaambiwa uvae ukipata chanjo ya corona?Tangu uzaliwe hadi leo kuna vaccines ngapi umewhai kuchanjwa? Kuna vaccine unachanjwa ukizaliwa tu, wala hata wazazi wako hawajui. Kuna vaccine nyingi mno, ya ugonjwa wa Njano, Malaria, tetenasi, reprosy etc etc etc
Hajui hilo huyo mpiga debe.Boss wako akikubali kitu, kukipinga hadharani ni insubordination !.
P
kwahiyo comrade unavutiwa na Polepole 🤣Mkuu Mchambuzi, Polepole pamoja na ubabaishaji wake wote ktk nyanja za kisiasa, lkn katika mambo ya kiroho anajitambua sana.
Dah!....haya sio maneno mazuri ya kumlenga Comred katibu mwenezi mstaafu, omba radhiMtu yeyote mwenye umbo dogo sana na hujui kama ni mtoto, mtu mzima au mzee kiumbo, huwa kichwani wana matatizo sana, can't be trusted
Ana haki ya kurochanjwa,soma hii!.InatishaKupitia ukurasa wake rasmi wa Facebook, alipokuwa akiongelea kuhusiana na muziki wa Singeli, sentensi yake yamwisho ilikuwa ni kutoa msimamo wake kuhusu chanjo, amesema chanjo ni hiyari nayeye hatachanja.
Huyu ndiye Polepole ninayemfahamu, Mungu akujalie ufike mbali, kile kiti kinakufaa kabisa.
Yap! Katika masuala ya kiroho na kiimani hilo halina ubishi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwahiyo comrade unavutiwa na Polepole [emoji1787]
Hatushangai ndio wale wale watoto wa mwendazake lakini ni haki yake tusimlaumu ni raia wa kawaida kama cc tulioamua kuchanja.Kupitia ukurasa wake rasmi wa Facebook, alipokuwa akiongelea kuhusiana na muziki wa Singeli, sentensi yake yamwisho ilikuwa ni kutoa msimamo wake kuhusu chanjo, amesema chanjo ni hiyari nayeye hatachanja.
Huyu ndiye Polepole ninayemfahamu, Mungu akujalie ufike mbali, kile kiti kinakufaa kabisa.
Mwime-Kahama!Stop your rubish.Humphrey is highly intellectual and distinguishable person.I know him since we sat on the same bench in our early childhood education.And I suggest that those with authority should take very seriously whatever he says concerning the people and interests of this nation.And I believe that Humphrey is after nothing but seeing this country and its people moving steps further.Polepole Hana akili huyo, Ana akili ya kuku. I can’t wait 2025 to see him unemployed. The guy is a good example of a moron. Good on Samia to get rid of him.