mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Katika utafiti wowote ule wa chanjo lazima kunakuwa na makundi mawili ya watj wanaoshiriki utafiti huo. Kundi la kwanza linaitwa CONTROL!! Hili huwa linadungwa maji matupu kwa lugha ya kitabibu yanaitwa placebo!! Kundi la pili linaitwa EXPERIMENTAL!! Hili kundi la experimental ndo hudungwa chanjo yenyewe inayolengwa! Halafu maisha ya watu kwenye makundi haya mawili hufuatiliwa kwa karibu kwa miaka zaidi ya kumi!! Wahamasishaji wa chanjo wao mara nyingj huchanjwa placebo!! Haiwezekani kwenye utafiti wasiwepo waliodungwa placebo!! Ila ni vizuri kwa waliodungwa placebo kuweka wazi hilo!! Ikiwezekana watu wapewe option ya kuchagua kuwa kwenye kundi la CONTROL au EXPERIMENTAL!! aana kitalaam haya makundi lazima yawepo!Hivi kweli Mama Samia kakubali wananchi wake na yeye kuwa sehemu ya majaribio ya chanjo
Yaani Afrika bado tuna ujinga mwingi sana, yaani unasaini kabisa kisha unachanjwa??!!!! Mungu tupe nusra kwakweli!!
Niko upande wa Polepole na Gwajiboy