Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna faida yoyote unapata ukionekana mjinga?We Màtaga Acha ujinga,wanatakiwa juchanjwa ni wale wenye miaka 50+ au wenye changamoto mbalimbali.
He huyo Polepole wako ana miaka 50.
Kila anayetaka anachanjwa mkuu. Hata ukiwa na miaka chini ya 20 na hauko kwenye kundi lolote unapigwa chanjo.We Màtaga Acha ujinga,wanatakiwa juchanjwa ni wale wenye miaka 50+ au wenye changamoto mbalimbali.
He huyo Polepole wako ana miaka 50.
Kati ya wanafunzi 12 wa Yesu mmoja alikuwa Daktari.Mungu gani huyo?hao ‘mungu’ wao alikua Magu ndiye waliyekua wanamnyenyekea na Kabudi wake.
Nikweli kuwa wamefariki baada ya kudungwa J&J?RIP CHARLES KEENJA NA MKEO
POLENI FAMILIA
HahahahaaaGwajima alisema kuwa mama na wale wanene wengine walichanjwa juice ya azam
🤣🤣🤣🤣Kumuamini mtu mwenye kaumbo kama ka mtoto ni kazi sana.
Yeah! Nimoja ya kijana mmoja safi sana, ana jua kujenga hoja kwa umakini sana..tukiachana na tutabia TWA kula kondoo wa bwana, yuko vizuri mnooPolepole ulimuangalia kwa jicho la kisiasa kutokana na mlengo wake wa kiitikadi, kama haupo upande anaousimamia unaweza kumchukia. Lakini linapokuja suala la imani yake kuhusu Mungu anayemuamini hapo ni lazima tu utamtaka.
Nimekushangaa sana ndugu..!! Imesemwa na Rais wetu kwamba kuchanja ni hiari, na yeye kasema hachanji, SASA CHA AJABU NINI HADI USEME NI HASIRA? Au wakati inasemwa kuchanja ni hiari ilimaanisha nini?Hasira tu hizo za kutolewa ukatibu mwenezi na kukata tamaa ya teuzi.......hamna lolote. Jambo la kupendeza ni kuwa watu makini kuliko yeye wameshachanja tayari. Hana ishu anaweza kurudi tu na kuwa Shuja wa chadema kama mwanzo maana kuwaongoza chadema ni rahisi sana.....we jifanye unapingana tu na serikali au raisi, hata km hujui wapi unaelekea
Jokate ana 50? Kigwa?We Màtaga Acha ujinga,wanatakiwa juchanjwa ni wale wenye miaka 50+ au wenye changamoto mbalimbali.
He huyo Polepole wako ana miaka 50.
Duuuuh!Polepole ana 68