mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,013
- 10,000
Watakuwa Wana changamoto za kiafya.Jokate ana 50? Kigwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakuwa Wana changamoto za kiafya.Jokate ana 50? Kigwa?
Duuuuh!
Acha mihemko, nilini polepole alikwambia kuwa rais Magufuli ni Mungu? Tumieni akili kufikiriUsimuhusishe Mungu kwenye mambo yasiyostahili, huyu polepole aliamini Magufuli ndiye Mungu na hakika ndiye aliyemuabudu.
Nani achanjwe?mwisho wa siku wote wote tutachanjwa?
Lakini hata yeye yupo neutral kwenye utu uzima yupo kwenye utoto yumo hivyo anaweza kuchoma tu.We Màtaga Acha ujinga,wanatakiwa juchanjwa ni wale wenye miaka 50+ au wenye changamoto mbalimbali.
He huyo Polepole wako ana miaka 50.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Polepole ana 68
kila mtu, hakuna hata kiumbe mmoja ambaye hatachanjwa dunia hii. hizi ni kelele za muda tu.Nani achanjwe?
Polepole ulimuangalia kwa jicho la kisiasa kutokana na mlengo wake wa kiitikadi, kama haupo upande anaousimamia unaweza kumchukia. Lakini linapokuja suala la imani yake kuhusu Mungu anayemuamini hapo ni lazima tu utamtaka.
Ila kumbukumbu yangu inaonesha pole pole alikuwa na jiwe kama kazi tu ila hao kina prof macho kodo ndio walimuhusudu na kumnyenyekea jiwe, pole pole alikuwa zake kwa maslahi yake na alificha sana kujipendekezaMungu gani huyo?hao ‘mungu’ wao alikua Magu ndiye waliyekua wanamnyenyekea na Kabudi wake.
Anamuamini Mungu yupi?? Yaani wanaiba kura na yeye yupo alafu unadai anamuamini Mungu?Polepole ulimuangalia kwa jicho la kisiasa kutokana na mlengo wake wa kiitikadi, kama haupo upande anaousimamia unaweza kumchukia. Lakini linapokuja suala la imani yake kuhusu Mungu anayemuamini hapo ni lazima tu utamtaka.
Boss mapovu ya nini? Polepole katumia hiyari yake kutochanja, na wewe smart genius unaweza kutumia hiyari yako kuchanja. Kulalama pale mwenzako anapotumia hiyari yake ni udikteta.Hasira tu hizo za kutolewa ukatibu mwenezi na kukata tamaa ya teuzi.......hamna lolote. Jambo la kupendeza ni kuwa watu makini kuliko yeye wameshachanja tayari. Hana ishu anaweza kurudi tu na kuwa Shuja wa chadema kama mwanzo maana kuwaongoza chadema ni rahisi sana.....we jifanye unapingana tu na serikali au raisi, hata km hujui wapi unaelekea
Mtakatifu Luka mwinjili ndiye alikuwa DrKati ya wanafunzi 12 wa Yesu mmoja alikuwa Daktari.
Mungu gani huyo?hao ‘mungu’ wao alikua Magu ndiye waliyekua wanamnyenyekea na Kabudi wake.
Atuwekee hiyo clip tuione!Acha mihemko, nilini polepole alikwambia kuwa rais Magufuli ni Mungu? Tumieni akili kufikiri
Hawezi kuleta