#COVID19 Polepole aweka msimamo wake wa kutochanjwa

#COVID19 Polepole aweka msimamo wake wa kutochanjwa

Mtu yeyote mwenye umbo dogo sana na hujui kama ni mtoto, mtu mzima au mzee kiumbo, huwa kichwani wana matatizo sana, can't be trusted
 
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Facebook, alipokuwa akiongelea kuhusiana na muziki wa Singeli, sentensi yake yamwisho ilikuwa ni kutoa msimamo wake kuhusu chanjo, amesema chanjo ni hiyari nayeye hatachanja.

Huyu ndiye Polepole ninayemfahamu, Mungu akujalie ufike mbali, kile kiti kinakufaa kabisa.
Naomba kujua ni kwanini wale wanaotumia Dawa za ARV's ( Waathirika ) wa UKIMWI ( Dally Kimoko ) hasa hapa Mkoani Dar es Salaam na Dodoma niliobahatika Kukutana nao wanapinga na hawataki kabisa Kuchanjwa wala kuusikia Msamiati wa Kulazimishwa ( Kulazimishana ) Kuchanjwa?
 
Katika utafiti wowote ule wa chanjo lazima kunakuwa na makundi mawili ya watj wanaoshiriki utafiti huo. Kundi la kwanza linaitwa CONTROL!! Hili huwa linadungwa maji matupu kwa lugha ya kitabibu yanaitwa placebo!! Kundi la pili linaitwa EXPERIMENTAL!! Hili kundi la experimental ndo hudungwa chanjo yenyewe inayolengwa! Halafu maisha ya watu kwenye makundi haya mawili hufuatiliwa kwa karibu kwa miaka zaidi ya kumi!! Wahamasishaji wa chanjo wao mara nyingj huchanjwa placebo!! Haiwezekani kwenye utafiti wasiwepo waliodungwa placebo!! Ila ni vizuri kwa waliodungwa placebo kuweka wazi hilo!! Ikiwezekana watu wapewe option ya kuchagua kuwa kwenye kundi la CONTROL au EXPERIMENTAL!! aana kitalaam haya makundi lazima yawepo!
Uko nyuma sana. Tuko Phase IV. Ni ya monitoring real vaccination. Hakuna placebo hapo au dada yake
 
We Màtaga Acha ujinga,wanatakiwa juchanjwa ni wale wenye miaka 50+ au wenye changamoto mbalimbali.
He huyo Polepole wako ana miaka 50.
Ukiona amesema mwenyewe kuwa hatochanjwa basi jua ni 50+
 
Tangu uzaliwe hadi leo kuna vaccines ngapi umewhai kuchanjwa? Kuna vaccine unachanjwa ukizaliwa tu, wala hata wazazi wako hawajui. Kuna vaccine nyingi mno, ya ugonjwa wa Njano, Malaria, tetenasi, reprosy etc etc etc
Hizo chanjo za utotoni moja wapo ni kifua kikuu ambacho kinaenezwa kwa hewa kama corona. Sasa jiulize kwa nini miaka yote hukuambiwa uvae barakoa baada ya kupata chanjo ya kifua kikuu ila unaambiwa uvae ukipata chanjo ya corona?

Kama kweli unaijua Elementary Biology kama unavyomnanga mwenzako basi utaona kuna utata mkubwa hapa.
 
Viongz wote inabd walabwe chajo na hasa hawa wenye Rangi ya kisanvu

Sis wengne iwe kundi la hiari
 
Angekua mwenezi saivi angekua anaeneza propaganda za umuhimu wa kuchanjwa chale za kibeberu, akiwa nje ya mfumo anakuwaga kichwa sana
 
Mtu yeyote mwenye umbo dogo sana na hujui kama ni mtoto, mtu mzima au mzee kiumbo, huwa kichwani wana matatizo sana, can't be trusted
Dah!....haya sio maneno mazuri ya kumlenga Comred katibu mwenezi mstaafu, omba radhi
 
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Facebook, alipokuwa akiongelea kuhusiana na muziki wa Singeli, sentensi yake yamwisho ilikuwa ni kutoa msimamo wake kuhusu chanjo, amesema chanjo ni hiyari nayeye hatachanja.

Huyu ndiye Polepole ninayemfahamu, Mungu akujalie ufike mbali, kile kiti kinakufaa kabisa.
Ana haki ya kurochanjwa,soma hii!.Inatisha

IMG-20210804-WA0000.jpg

IMG-20210726-WA0003.jpg
 
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Facebook, alipokuwa akiongelea kuhusiana na muziki wa Singeli, sentensi yake yamwisho ilikuwa ni kutoa msimamo wake kuhusu chanjo, amesema chanjo ni hiyari nayeye hatachanja.

Huyu ndiye Polepole ninayemfahamu, Mungu akujalie ufike mbali, kile kiti kinakufaa kabisa.
Hatushangai ndio wale wale watoto wa mwendazake lakini ni haki yake tusimlaumu ni raia wa kawaida kama cc tulioamua kuchanja.
 
Polepole Hana akili huyo, Ana akili ya kuku. I can’t wait 2025 to see him unemployed. The guy is a good example of a moron. Good on Samia to get rid of him.
Mwime-Kahama!Stop your rubish.Humphrey is highly intellectual and distinguishable person.I know him since we sat on the same bench in our early childhood education.And I suggest that those with authority should take very seriously whatever he says concerning the people and interests of this nation.And I believe that Humphrey is after nothing but seeing this country and its people moving steps further.
 
Haya ndiyo maneno ya mbunge wa kuteuliwa mh Polepole.

Msiogope! Hakuna kitu kiuacho kama hofu! Tuchape kazi, tupate mitonyo tule vizuri! Maisha lazima yaendelee.

Chanjo ni hiyari ila mimi sitachanja" Ndg. @hpolepole, Mbunge wa Kuteuliwa na Rais.

Tukisema kwenye msafara wa mamba nakenge wapo tunakuwa na maana.

IMG_20210807_164912.jpg
 
Baada ya kunyang'anywa V8 naona akilizake kamili zimemrudia...😂😂
 
Hayo mashati bora angeacha nje masela wachukue.Yeye atavalia wapi sasa hivi
 
Back
Top Bottom