#COVID19 Polepole aweka msimamo wake wa kutochanjwa

Kwa jinsi umri wa Polepole ulivyosonga mbele akipata uviko haponi
 
Unaweza kufikiri kwamba una akili ukiwa miongoni mwa vilaza lakini ukichanganywa na vipanga uwezi kujitambua.Wewe aliyekuambia kuna Vaccine ya Covid-19 kwa sasa ulimwenguni nani? Tupe reputable sources za approval ya Covid-19 vaccine unazozifahamu. Medical expert says it takes more than ten years to develop an arguably effective vaccine for any disease.Astrazeneca,sinopham,sinovac,pfizer ,Johnson and Johnson zinazoitwa chanjo they are nothing but merely viongeza kinga za mwili and if thats the case hakuna ulazima wa kuzitumia kwani kuna njia nyingine mbadala ya kuvipata isiyokuwa na disclaimer na ni kula vyakula vyenye uwezo wa kuimalisha kinga za mwili naturally.uwezi kumwelewa polepole kwani uwezo wako umefikia kikomo brother believe me.
 
Kwa utovu huo wa nidhamu ,naamini mpaka sasa neno mpaka tusingekuwa tunalitaja tukitaja jina lake
 
Chanjo hususani ya J&J ina hali ya kushusha chini kinga ya mwili kabla mwili haujajiimarisha na kuanza kutengeneza tena kinga. Sasa, ktk kakipindi hako ka mpito ukikutwa una tuugonjwa twetu utu kama ukimwi, sukari, presha, seli mundu, tezi dume, na mengine yanayofanana na hayo; Umekwenda!
Mbaya jamaa hawakupiki kujua hali yako ya afya kuhusiana na hayo magonjwa makubwa. Ukuenda wanachanja tu kuongeza takwimu! Wengi wengine jamaa zangu; Wamekwenda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…