Uchaguzi 2020 Polepole: CCM inawataka wagombea wote waliofeli kura za maoni kuwapigia kampeni washindi watakaokaidi kukosa teuzi!

Ukitema shida,ukimeza shida...
 
Kweni wa mwezi huu ushatoka?
 
Binadamu si kama mbwa kwamba unaweza kumtuma chochote utakavyo .
 
Acha mishahara ya hao wafanyakazi 7000/wana CCM ukatumike kujenga stigler's mkuu.
 
Inasikitisha sana,ukiona kilichoandikwa kwenye hizo salary slip zao ni mahanga
Na ninahisi hizi hela zitakuwa zishakuwa diverted kwenda aidha kwenye miradi ya Serikali au kwenye mambo mengine
Mimi naona ni sawa kabisa mkuu maana siku zote hao wana CCM wakiambiwa mambo hayaendi sawa wanasema tutangulize uzalendo.

Sasa na mimi nasema hio mishahara acha ikajenge SGR na wasilipwe mshahara mpk baada ya uchaguzi.
 
Kazi na dawa.
 
Polepole kweli haijitosherezi ,wakate teuzi yako,utoke Dar hadi Kigoma kumfanyia kampeni underdog wako uliemshinda by far, wakati huo huo mshahara mmoja wamekunyanganya.Unless wewe si mtu.Huna feelings?
 
Mwambie Polepole keshaanza Serukamba kule Kigoma kahamia ACT na keshachukua fomu ya kugombea ubunge.................. pia mwambieni Membe kawaita wote waliokatwa waende ACT watapata nafasi upo wewe Polepole? akili ndogo kama kidonge cha priton
Serukamba hataki kulaza damu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…