TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Ha ha haaa! Mkuu, this time ni 'bampa' to 'bampa'. Ha ha haaa! Hatumchekei mnyama fulani kwenye shamba letu la mahindi.....Hiyo inaonyesha utii .....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haaa! Mkuu, this time ni 'bampa' to 'bampa'. Ha ha haaa! Hatumchekei mnyama fulani kwenye shamba letu la mahindi.....Hiyo inaonyesha utii .....
Popo Ni mnyama au ndege?Hivi Polepole ni Kijana au Mzee!
Popo Ni mnyama au ndege?
Ukitema shida,ukimeza shida...Katibu wa uenezi wa CCM ndugu Polepole amewataka wagombea waliofeli kwenye kura za maoni wawapigie kampeni walioshinda pindi kampeni zitakapofunguliwa.
Polepole amesema CCM ni chama kikubwa tena ni taasisi ya Umma hivyo ina vyeo na fursa nyingi kwahiyo wale watakaokaidi kukampenia wenzao watakosa teuzi siku za usoni.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Kweni wa mwezi huu ushatoka?Hiyo ni ngumu sana na asahau hilo jambo.
Yaani Watumishi wa Umma ambao ni makada wa CCM zaidi ya elfu 7 waliojitokeza kukipigania chama huko majimboni - Serikali hii hii ya CCM imewanyima mishahara ya miezi miwili ( mwezi wa saba na huu wa nane), leo hii eti waende wakakipigie kampeni CCM huko majimboni, hao makada anawaona ni wajinga enhee?
Sasa subiri waone kitachotokea. Mtu atoke Dar aende Mbeya kukipigia kampeni CCM wakati Mshahara hana, nguvu hiyo ataitoa wapi?
Mwambie pole pole aache ufala ! Wao wasubiri maana dharau zao sasa zitawatokea puani.
Ndungulile asikubaliane timu yake ya kampeni kumuweka Bashite atamharibia.Bwashe basi sawa
nasubiri nione Makonda atapigaje kampeni Kinondoni
Yanadanganywa Kama matotoNchi hii ina wajinga wengi sana
Hata mwezi huu hawalipwiKweni wa mwezi huu ushatoka?
Pole yao,kama hawakujipanga ishakula kwaoHata mwezi huu hawalipwi
Watajiju....hatayatuhusu sisiPole yao,kama hawakujipanga ishakula kwao
Ubaya jpm haogopi chochote,anaweza wachinjia wote baharini mazima
Inasikitisha sana,ukiona kilichoandikwa kwenye hizo salary slip zao ni mahangaWatajiju....hatayatuhusu sisi
Binadamu si kama mbwa kwamba unaweza kumtuma chochote utakavyo .Katibu wa uenezi wa CCM ndugu Polepole amewataka wagombea waliofeli kwenye kura za maoni wawapigie kampeni walioshinda pindi kampeni zitakapofunguliwa.
Polepole amesema CCM ni chama kikubwa tena ni taasisi ya Umma hivyo ina vyeo na fursa nyingi kwahiyo wale watakaokaidi kukampenia wenzao watakosa teuzi siku za usoni.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Na Polepole ndiyo No.1 kwa sasa.Nchi hii ina wajinga wengi sana
Acha mishahara ya hao wafanyakazi 7000/wana CCM ukatumike kujenga stigler's mkuu.Hiyo ni ngumu sana na asahau hilo jambo.
Yaani Watumishi wa Umma ambao ni makada wa CCM zaidi ya elfu 7 waliojitokeza kukipigania chama huko majimboni - Serikali hii hii ya CCM imewanyima mishahara ya miezi miwili ( mwezi wa saba na huu wa nane), leo hii eti waende wakakipigie kampeni CCM huko majimboni, hao makada anawaona ni wajinga enhee?
Sasa subiri waone kitachotokea. Mtu atoke Dar aende Mbeya kukipigia kampeni CCM wakati Mshahara hana, nguvu hiyo ataitoa wapi?
Mwambie pole pole aache ufala ! Wao wasubiri maana dharau zao sasa zitawatokea puani.
Mimi naona ni sawa kabisa mkuu maana siku zote hao wana CCM wakiambiwa mambo hayaendi sawa wanasema tutangulize uzalendo.Inasikitisha sana,ukiona kilichoandikwa kwenye hizo salary slip zao ni mahanga
Na ninahisi hizi hela zitakuwa zishakuwa diverted kwenda aidha kwenye miradi ya Serikali au kwenye mambo mengine
Kazi na dawa.Ukumbuke wagombea wengi waliofeli ni watumishi wa Umma na hapo walipo July na August 2020 mishahara hawana. Kisa waliogombea uongozi wa kisiasa ndani ya CCM. Leo unakuja na gia nyingine wakawasaidie kampeni umesahau wameponea kufukuzwa kazi? Na mishahara imechukuliwa na serikali hiyo hiyo ya chama tawala?
Wale watoa rushwa walikatwa?!
Polepole kweli haijitosherezi ,wakate teuzi yako,utoke Dar hadi Kigoma kumfanyia kampeni underdog wako uliemshinda by far, wakati huo huo mshahara mmoja wamekunyanganya.Unless wewe si mtu.Huna feelings?Hiyo ni ngumu sana na asahau hilo jambo.
Yaani Watumishi wa Umma ambao ni makada wa CCM zaidi ya elfu 7 waliojitokeza kukipigania chama huko majimboni - Serikali hii hii ya CCM imewanyima mishahara ya miezi miwili ( mwezi wa saba na huu wa nane), leo hii eti waende wakakipigie kampeni CCM huko majimboni, hao makada anawaona ni wajinga enhee?
Sasa subiri waone kitachotokea. Mtu atoke Dar aende Mbeya kukipigia kampeni CCM wakati Mshahara hana, nguvu hiyo ataitoa wapi?
Mwambie pole pole aache ufala ! Wao wasubiri maana dharau zao sasa zitawatokea puani.
Serukamba hataki kulaza damu.Mwambie Polepole keshaanza Serukamba kule Kigoma kahamia ACT na keshachukua fomu ya kugombea ubunge.................. pia mwambieni Membe kawaita wote waliokatwa waende ACT watapata nafasi upo wewe Polepole? akili ndogo kama kidonge cha priton