GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Haya amkeniiiii.

Polepole kajua kudeal na wahuni, kasubiri mpaka wamelala ndio kaja kuliamsha dude🤣🤣🤣

Mambo yapo liveee.

Viongozi wanakwenda kwenye uchaguzi sababu wanauhakika kushinda uchaguzi sababu kuna mifumo inawabeba

Kumbe huyu mjinga sana nahisi nikehu 2019 kalijinadi ccm inashinda kwa kishindo kumbe kamepanga wizi
 
CCM kwa hili MCHUTAME...Uchaguzi usogezwe mbele..iteni Meza ya Mazungumzo ya dhati , mtupatie Katiba Mpya iliyo BORA na Tume huru kwelikweli ya Uchaguzi....

Jaji Mwambogele Wa Mahakama ya Rufaa na Mwenyekiti NEC "Huru" kulinda hadhi ya nchi, hadhi ya Mahakama na hadhi yako mwenyewe JIUZULU
 
Wakuu, Kuna jambo Kalisema Polepole, ila linapuuzwa ili kuonekana halina maana, ukweli ni kua UCHAGUZI HAUNA MAANA TENA KWA JAMBO HILI.

Wakuu kuanzia Leo nimemaini TUNDU LISSU ni NABII WA MUNGU , kama alivyokus Mussa.

LISSU amekomaa sana kwenye Mkutano kuhusu Servers za Tume ya Uchaguzi, LISSU kasema tunataka Vyama vya Siasa turuhusiwe kukagua , inawezekana LISSU alikua analisema bila kujua chochote na bila utaalam wowote.

Leo POLEPOLE kaliweka wazi hili , CCM walotengeneza Mfumo wa kikomoyuta ambao una Link Taarifa za Mfumo mitatu yaan CCM +NIDA+NEC , Kwa kuunganisha Mifumo hii mitatu, CCM WANAUHAKIKA WA KUZALISHA USHINDI WA KURA MAPEMA KABISA HATA KABLA YA UCHAGUZI.


Polepole ameomba Mungu amsamehe kwani Kwa Sasa ni kiumbe Kipya .


WAKUU ITOSHE KUSEMA, TUMEUMIZWA SANA NA CCM, LEO NMESHIKWA NA HASIRA SANA, KUMBE WATANZANIA WANAPOTEZA MUDA KWENDA KUPIGA KURA, KUMBE KURA YA MTANZANIA NI TAKATAKA MACHONI MWA CCM, KUMBE CCM MPAKA MIDA HUU TAYARI WAMESHASHINDA UCHAGUZI MKUU.


Kiufupi Ndugu zangu, HAKUNA UCHAGUZI, CHADEMA TUKOMAE NA NO REFORMS NO ELECTION!!!
 
Wakuu maana ya Hili ni kua


SERVERS za Tume ya Taifa ya Uchaguzi , zimedukuliwa na CCM .


Servers za NIDA zimedukuliwa na CCM.


Kwahiyo CCM wanauwezo wa kutumia Taarifa za NIDA tu kupiga Kura, na kufeed Matokeo Yao kwenye Servers za Tume ya Uchaguzi.😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡
 
Sio kwamba zimedukuliwa, zimeunganishwa rasmi kuwa kama mfumo mmoja kwa sasa.

Kwahiyo CCM wana access na mifumo hiyo mingine ya NIDA na tume ya uchaguzi na wanapewa ushirikiano wa kutosha na hizo taasisi anavyosema Polepole.

Kwenye mazingira kama haya unahitaji mtu kama Jaji Warioba kufanya uchunguzi wa kina.
 
Wakuu, Kuna jambo Kalisema Polepole, ila linapuuzwa ili kuonekana halina maana, ukweli ni kua UCHAGUZI HAUNA MAANA TENA KWA JAMBO HILI.

Wakuu kuanzia Leo nimemaini TUNDU LISSU ni NABII WA MUNGU , kama alivyokus Mussa.

LISSU amekomaa sana kwenye Mkutano kuhusu Servers za Tume ya Uchaguzi, LISSU kasema tunataka Vyama vya Siasa turuhusiwe kukagua , inawezekana LISSU alikua analisema bila kujua chochote na bila utaalam wowote.

Leo POLEPOLE kaliweka wazi hili , CCM walotengeneza Mfumo wa kikomoyuta ambao una Link Taarifa za Mfumo mitatu yaan CCM +NIDA+NEC , Kwa kuunganisha Mifumo hii mitatu, CCM WANAUHAKIKA WA KUZALISHA USHINDI WA KURA MAPEMA KABISA HATA KABLA YA UCHAGUZI.


Polepole ameomba Mungu amsamehe kwani Kwa Sasa ni kiumbe Kipya .


WAKUU ITOSHE KUSEMA, TUMEUMIZWA SANA NA CCM, LEO NMESHIKWA NA HASIRA SANA, KUMBE WATANZANIA WANAPOTEZA MUDA KWENDA KUPIGA KURA, KUMBE KURA YA MTANZANIA NI TAKATAKA MACHONI MWA CCM, KUMBE CCM MPAKA MIDA HUU TAYARI WAMESHASHINDA UCHAGUZI MKUU.


Kiufupi Ndugu zangu, HAKUNA UCHAGUZI, CHADEMA TUKOMAE NA NO REFORMS NO ELECTION!!!
Japo ilikuwa inajulikana hivyo haikuwahi kusemwa wazi wala kukiri.. Leo mpishi mkuu kasanuka! Kwakweli leo kafumua mshono mpaka mwisho
 
TOKA MAKTABA :

30 Mei 2025
Wasiojulikana wamevamia ofisi ya CCM, na kuvunja kuiba Laptop 600, fedha milioni 25 kisha kutokomea

1755824931634.jpeg


Chama cha Mapinduzi, shina namba 7, kata ya Msasani
Msasani, Dar es Salaam
Tanzania

Watu wasiojulikana wamevamia, kuvunja na kuiba, Laptop 600, fedha milioni 25, vifaa vya shule pamoja na vya mpira, kwenye ofisi ya Chama cha Mapinduzi, shina namba 7, iliyopo kata ya Msasani eneo la Bonde la Mpunga, wakiwa na gari yenye namba za usajili SM 14024 saa 8:00 usiku.

Akiongea na EATV, Mwenyekiti wa shina hilo, Bakari Mgaza amesema, tukio hilo limetokea Mei 30/2025, wakati viongozi wa shina hilo wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa chama hicho uliokuwa unafanyika jijini Dodoma, ndipo wakapokea taarifa za ofisi yao kuvamiwa majira ya usiku.
 
Japo ilikuwa inajulikana hivyo haikuwahi kusemwa wazi wala kukiri.. Leo mpishi mkuu kasanuka! Kwakweli leo kafumua mshono mpaka mwisho
Mkuu zaman tulikua tunahisia tu , LEO LIMETHIBITISHWA NA MWANDAMIZI MWENYEWE ALOHUSIKA KUULETA .

Nadhani ndio Sababu alisema, potelea Mbali Wacha CCM isambaratike ila Taifa Liponye.
 
Sio kwamba zimedukuliwa, zimeunganishwa rasmi kuwa kama mfumo mmoja kwa sasa.

Kwahiyo CCM wana access na mifumo hiyo mingine ya NIDA na tume ya uchaguzi na wanapewa ushirikiano wa kutosha na hizo taasisi anavyosema Polepole.

Kwenye mazingira kama haya unahitaji mtu kama Jaji Warioba kufanya uchunguzi wa kina.
Kwa hili tu, CCM imepoteza kibali na Uhalali wa ku exist nkama Chama Cha Siasa, Kwa Sasa ni GENGE LA UNYANG'ANYI NA WAHUNI WAKUBWA
 
So now we know. What are we going to do about it?

That's what's important.

How are we going to cajole Samia and her gang into changing their means of winning an election?
 
Back
Top Bottom