Safi sana mkuuNani alizikamata? Wapi? Halafu ikawaje? Nachojua wananchi wamemwamini sana Dkt. Magufuli kwa sababu ya sera yake makini ya ustawi & maendeleo ya watu na vitu, amani na usalama wa raia; ndiyo maana wamemchagua kwa kishindo pamoja na Wabunge na Madiwani wa Sisiemu, dhidi ya Chama cha Demoghasia & Maombolezo chenye sera kakasi na tata za kuligawa taifa, kuifanya Tanzania koloni la London na Washington, kusalimisha rasilimali zetu kwa mabepari, maadili mabaya, ushari, vurugu, ghasia, machafuko, kutengengeza matukio, matusi, kashfa, uongo na kupinga kila kitu.
Mkuu,Amani iwe nanyi
Mkuu wa idara ya itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi, shujaa Humphrey Polepole wakati akijibu swali la kukamatwa kura feki huko Kawe na baadae kuchomwa moto na wananchi amesema makaratasi hayo ya kura feki yalichapishwa na CHADEMA na baadae wakayasambaza wenyewe kwenye vituo vya kupiga kura na kisha wakayakamata wenyewe na kuyachoma moto wenyewe kwa lengo la kuvuruga uchaguzi mkuu wa mwaka huu!!
Polepole amehoji kama hizo ni karatasi kutoka NEC kwa nini wazichome moto? Kwa nini CHADEMA hizo kura feki hawakuzipeleka polisi kwa uchunguzi?
Hayo mabegi ya kura feki kwa nini aliyekuwa nayo walimkamata na kumwachia?
NonesenseAmani iwe nanyi
Mkuu wa idara ya itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi, shujaa Humphrey Polepole wakati akijibu swali la kukamatwa kura feki huko Kawe na baadae kuchomwa moto na wananchi amesema makaratasi hayo ya kura feki yalichapishwa na CHADEMA na baadae wakayasambaza wenyewe kwenye vituo vya kupiga kura na kisha wakayakamata wenyewe na kuyachoma moto wenyewe kwa lengo la kuvuruga uchaguzi mkuu wa mwaka huu!!
Polepole amehoji kama hizo ni karatasi kutoka NEC kwa nini wazichome moto? Kwa nini CHADEMA hizo kura feki hawakuzipeleka polisi kwa uchunguzi?
Hayo mabegi ya kura feki kwa nini aliyekuwa nayo walimkamata na kumwachia?
Wewe unaejiita mjingamimi, wacha nikuamshe kwenye huo usingizi.Zilikamatwa kawe, sinza, Zanzibar hata kigoma..Ila nec hawajui Kama kuna kura feki zimekamatwa.
This is why zinapaswa kupuuzwa kama upuuzi mwingine. Ndiyo maana tumesema wakati wote kuwa hawa jamaa hawakuingia kwenye uchaguzi huu ili kutafuta ushindi, bali KUUVURUGA.Wewe unaejiita mjingamimi, wacha nikuamshe kwenye huo usingizi.
Bob Amsterdam na mtandao wake hashindwi kutengeneza kura feki na kuwapa nyie wapinzani ili kuleta mkanganyiko kati yetu cc kwa cc.
Chakubanga afanye afanyavyo viatu vya Nape vinamvaa...Chakubanga anaropoka tu.
Nadhani pia walifoji na mihuri halaliLakini maneno yake kama vile kweli
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Haoni hata aibu huyu mchumia tumbo ukimwangalia usoni hujui ni mzee au kijana.
Kweli kabisaa. Ukichunguza baadhi ya hotuba ya Lissu wakati wa kampeni za Uchaguzi alisema tena mchana kweupe bila kupepesa macho kuwa CHADEMA ikishindwa Uchaguzi wataingia barabarani.This is why zinapaswa kupuuzwa kama upuuzi mwingine. Ndiyo maana tumesema wakati wote kuwa hawa jamaa hawakuingia kwenye uchaguzi huu ili kutafuta ushindi, bali KUUVURUGA.
Hawa huwa hawajipangagi mzee. Mark my words. Wanakurupuka tu kila msimu wa uchaguzi. Kazi yao kubwa kumendea makombo ya wale wanaovurunda Sisiemu, kama njia ya kujichotea fedha na uzoefu wao. But nawapa caution: "Kwa vile mwindaji amejifunza kulenga shabaha bila kukosea, chama tawala nacho kimejizatiti kuruka juu angani bila kutua mtini." (adapted from Chinua Achebe)Hivi kali ya Karne chama cha upinzani Tz kuchapisha kura feki. Ila uchaguzi umeshaisha na Rais wetu mtukufu tunaye. Anachapa kazi another 5 yrs. Upinzani wajipange upya.
GoodHawa huwa hawajipangagi mzee. Mark my words. Wanakurupuka tu kila msimu wa uchaguzi. Kazi yao kubwa kumendea makombo ya wale wanaovurunda Sisiemu, kama njia ya kujichotea fedha na uzoefu wao. But nawapa caution: "Kwa vile mwindaji amejifunza kulenga shabaha bila kukosea, chama tawala nacho kimejizatiti kuruka juu angani bila kutua mtini." (adapted from Chinua Achebe)
Sure. Yaani eti huwa hawajiandai na kumuandaa competent candidate. Wanaishia kubeba mijitu ya vipenyo ambayo huwa hawastaafu na waliotemwa makusudi ili kuangusha upinzani. Mfano 2020 Membe hakuwa kabisa mtu wa kuchukua. Anajulikana ni jajusi ambaye tena alishakuwa Mkuu huko kitengoni. Mwishowe akababaisha mpaka mwisho kuwa ni mgombea halali. Lengo kuleta confusion kwa mwanachama we ACT.Hawa huwa hawajipangagi mzee. Mark my words. Wanakurupuka tu kila msimu wa uchaguzi. Kazi yao kubwa kumendea makombo ya wale wanaovurunda Sisiemu, kama njia ya kujichotea fedha na uzoefu wao. But nawapa caution: "Kwa vile mwindaji amejifunza kulenga shabaha bila kukosea, chama tawala nacho kimejizatiti kuruka juu angani bila kutua mtini." (adapted from Chinua Achebe)
Truth be told, sijaona upinzani hata kidogo; nimeona tu mihemko ya madalali, vibaraka na matapeli wa siasa. Hata huyo Mzungu wao anajua washangiliaji wake kwenye kampeni walikuwa wanamsanifu tu, na wala hawakuwa wanamtakia ushindi ndiyo maana hawajampatia kura zao, badala yake wamemchagua JPM. Huwezi kutangaza mauti, vita, shari, uasi, uzushi, uongo na kupinga kila kitu halafu wananchi haohao wapenda-maendeleo wakakuchagua. No, never!Sure. Yaani eti huwa hawajiandai na kumuandaa competent candidate. Wanaishia kubeba mijitu ya vipenyo ambayo huwa hawastaafu na waliotemwa makusudi ili kuangusha upinzani. Mfano 2020 Membe hakuwa kabisa mtu wa kuchukua. Anajulikana ni jajusi ambaye tena alishakuwa Mkuu huko kitengoni. Mwishowe akababaisha mpaka mwisho kuwa ni mgombea halali. Lengo kuleta confusion kwa mwanachama we ACT. Pia Zitto alishafika bei hivyo siyo mpinzani bali anafanya same role kama Maalum Seif na Lipumba. Hivyo kifupi nionavyo Mimi Tanzania mpinzani wa kweli ni Tindu Antipus Lissu tu sema anakosa solidariry ya upinzani. Yaani upinzani ungeungana mbona CCM tungeomba poo. Imagine kama CUF ilishapoteza mvuto kabisa lakini bado iko kwenye kampeni. Hivyo vyama 15 vingeungana kupambana na sisi baba leo. Hivyo kifupi upinzani ni legalese na sisi tunachukua advantage ya ulegelege wao. 2025 upinzani wajiandae tutawaletea tena confusing candidate tena ππππππ€£π€£π€£π€£