Uchaguzi 2020 Polepole: CHADEMA walichapisha kura feki ili kuvuruga Uchaguzi Mkuu

Uchaguzi 2020 Polepole: CHADEMA walichapisha kura feki ili kuvuruga Uchaguzi Mkuu

Nani alizikamata? Wapi? Halafu ikawaje? Nachojua wananchi wamemwamini sana Dkt. Magufuli kwa sababu ya sera yake makini ya ustawi & maendeleo ya watu na vitu, amani na usalama wa raia; ndiyo maana wamemchagua kwa kishindo pamoja na Wabunge na Madiwani wa Sisiemu, dhidi ya Chama cha Demoghasia & Maombolezo chenye sera kakasi na tata za kuligawa taifa, kuifanya Tanzania koloni la London na Washington, kusalimisha rasilimali zetu kwa mabepari, maadili mabaya, ushari, vurugu, ghasia, machafuko, kutengengeza matukio, matusi, kashfa, uongo na kupinga kila kitu.
Safi sana mkuu
 
Amani iwe nanyi

Mkuu wa idara ya itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi, shujaa Humphrey Polepole wakati akijibu swali la kukamatwa kura feki huko Kawe na baadae kuchomwa moto na wananchi amesema makaratasi hayo ya kura feki yalichapishwa na CHADEMA na baadae wakayasambaza wenyewe kwenye vituo vya kupiga kura na kisha wakayakamata wenyewe na kuyachoma moto wenyewe kwa lengo la kuvuruga uchaguzi mkuu wa mwaka huu!!

Polepole amehoji kama hizo ni karatasi kutoka NEC kwa nini wazichome moto? Kwa nini CHADEMA hizo kura feki hawakuzipeleka polisi kwa uchunguzi?

Hayo mabegi ya kura feki kwa nini aliyekuwa nayo walimkamata na kumwachia?
Mkuu,

Kama taarifa hii uliyoileta imetoka kwenye mdomo wa kiongozi mwandamizi wa chama tawala na kwamba alikuwa anamaanisha na sio kutania au kurusha vijembe kwenda kwa watani/washindani wao wa kisiasa, WITO unatolewa uchunguzi ufanyike haraka na wahusika wachukuliwe hatua stahiki za kisheria badala ya kuongea tu kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kisha yaishie hapo, hilo haliwezekani.

NB: We shall remind on this serious statement uttered by a reputable political leader until the nuts are cracked for the eyes and mentality attuned to the truth. It must be borne in mind that fraudulently cast votes as the accusations against the stipulated opposition party in its favour or with intent to tarnish the rival contestants won't fade away without being demanded justice to take course to end teh outrageous behaviour, contrary to which that leader is liable for litigation thereto.

Let's team up to appeal to the NEC, law enforcement and state security instrument immediately initiate the investigation on the alleged 'fake' votes were printed by one of teh contesting party with intent to defraud.

I humbly adduce my opinions before the great thinkers for consideration.
 
Amani iwe nanyi

Mkuu wa idara ya itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi, shujaa Humphrey Polepole wakati akijibu swali la kukamatwa kura feki huko Kawe na baadae kuchomwa moto na wananchi amesema makaratasi hayo ya kura feki yalichapishwa na CHADEMA na baadae wakayasambaza wenyewe kwenye vituo vya kupiga kura na kisha wakayakamata wenyewe na kuyachoma moto wenyewe kwa lengo la kuvuruga uchaguzi mkuu wa mwaka huu!!

Polepole amehoji kama hizo ni karatasi kutoka NEC kwa nini wazichome moto? Kwa nini CHADEMA hizo kura feki hawakuzipeleka polisi kwa uchunguzi?

Hayo mabegi ya kura feki kwa nini aliyekuwa nayo walimkamata na kumwachia?
Nonesense
 
Zilikamatwa kawe, sinza, Zanzibar hata kigoma..Ila nec hawajui Kama kuna kura feki zimekamatwa.
Wewe unaejiita mjingamimi, wacha nikuamshe kwenye huo usingizi.
Bob Amsterdam na mtandao wake hashindwi kutengeneza kura feki na kuwapa nyie wapinzani ili kuleta mkanganyiko kati yetu cc kwa cc.
 
Asante sana mkuu kwa uandishi mzuri wa kitaaluma, kitaalamu na kisheria. Inavutia sana kuwaona Watanzania wenzetu wakiwanda jinsi yako. Jitahidi tu kufanyia kazi 'grama' hapa na pale pamoja na mpangilio & unyofu wa sentensi. Nikiwa na kijikesi changu mahali nitakutafuta uniandikie maneno tu, ila content hapana, maana sikubaliani kabisa na mtazamo wako.
 
Wewe unaejiita mjingamimi, wacha nikuamshe kwenye huo usingizi.
Bob Amsterdam na mtandao wake hashindwi kutengeneza kura feki na kuwapa nyie wapinzani ili kuleta mkanganyiko kati yetu cc kwa cc.
This is why zinapaswa kupuuzwa kama upuuzi mwingine. Ndiyo maana tumesema wakati wote kuwa hawa jamaa hawakuingia kwenye uchaguzi huu ili kutafuta ushindi, bali KUUVURUGA.
 
Haoni hata aibu huyu mchumia tumbo ukimwangalia usoni hujui ni mzee au kijana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
This is why zinapaswa kupuuzwa kama upuuzi mwingine. Ndiyo maana tumesema wakati wote kuwa hawa jamaa hawakuingia kwenye uchaguzi huu ili kutafuta ushindi, bali KUUVURUGA.
Kweli kabisaa. Ukichunguza baadhi ya hotuba ya Lissu wakati wa kampeni za Uchaguzi alisema tena mchana kweupe bila kupepesa macho kuwa CHADEMA ikishindwa Uchaguzi wataingia barabarani.
Mm najiuliza huyu ni Mwanasheria gani asiyefuata Katiba, Sheria na taratibu za nchi yake??!!
 
Hivi kali ya Karne chama cha upinzani Tz kuchapisha kura feki. Ila uchaguzi umeshaisha na Rais wetu mtukufu tunaye. Anachapa kazi another 5 yrs. Upinzani wajipange upya.
 
Hivi kali ya Karne chama cha upinzani Tz kuchapisha kura feki. Ila uchaguzi umeshaisha na Rais wetu mtukufu tunaye. Anachapa kazi another 5 yrs. Upinzani wajipange upya.
Hawa huwa hawajipangagi mzee. Mark my words. Wanakurupuka tu kila msimu wa uchaguzi. Kazi yao kubwa kumendea makombo ya wale wanaovurunda Sisiemu, kama njia ya kujichotea fedha na uzoefu wao. But nawapa caution: "Kwa vile mwindaji amejifunza kulenga shabaha bila kukosea, chama tawala nacho kimejizatiti kuruka juu angani bila kutua mtini." (adapted from Chinua Achebe)
 
Good
 
Bila ruzuku na kuwakata Wabunge mishahara kwa ajili ya Mwenyekiti, njaa inayokuja CHADEMA ni kubwa sana. Tegemea wakati wowote kusikia Mbowe kaunga juhudi
 
Hawa huwa hawajipangagi mzee. Mark my words. Wanakurupuka tu kila msimu wa uchaguzi. Kazi yao kubwa kumendea makombo ya wale wanaovurunda Sisiemu, kama njia ya kujichotea fedha na uzoefu wao. But nawapa caution: "Kwa vile mwindaji amejifunza kulenga shabaha bila kukosea, chama tawala nacho kimejizatiti kuruka juu angani bila kutua mtini." (adapted from Chinua Achebe)
Sure. Yaani eti huwa hawajiandai na kumuandaa competent candidate. Wanaishia kubeba mijitu ya vipenyo ambayo huwa hawastaafu na waliotemwa makusudi ili kuangusha upinzani. Mfano 2020 Membe hakuwa kabisa mtu wa kuchukua. Anajulikana ni jajusi ambaye tena alishakuwa Mkuu huko kitengoni. Mwishowe akababaisha mpaka mwisho kuwa ni mgombea halali. Lengo kuleta confusion kwa mwanachama we ACT.

Pia Zitto alishafika bei hivyo siyo mpinzani bali anafanya same role kama Maalum Seif na Lipumba. Hivyo kifupi nionavyo Mimi Tanzania mpinzani wa kweli ni Tindu Antipus Lissu tu sema anakosa solidariry ya upinzani. Yaani upinzani ungeungana mbona CCM tungeomba poo. Imagine kama CUF ilishapoteza mvuto kabisa lakini bado iko kwenye kampeni.

Hivyo vyama 15 vingeungana kupambana na sisi baba leo. Hivyo kifupi upinzani ni legalese na sisi tunachukua advantage ya ulegelege wao. 2025 upinzani wajiandae tutawaletea tena confusing candidate tena 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
 
Sure. Yaani eti huwa hawajiandai na kumuandaa competent candidate. Wanaishia kubeba mijitu ya vipenyo ambayo huwa hawastaafu na waliotemwa makusudi ili kuangusha upinzani. Mfano 2020 Membe hakuwa kabisa mtu wa kuchukua. Anajulikana ni jajusi ambaye tena alishakuwa Mkuu huko kitengoni. Mwishowe akababaisha mpaka mwisho kuwa ni mgombea halali. Lengo kuleta confusion kwa mwanachama we ACT. Pia Zitto alishafika bei hivyo siyo mpinzani bali anafanya same role kama Maalum Seif na Lipumba. Hivyo kifupi nionavyo Mimi Tanzania mpinzani wa kweli ni Tindu Antipus Lissu tu sema anakosa solidariry ya upinzani. Yaani upinzani ungeungana mbona CCM tungeomba poo. Imagine kama CUF ilishapoteza mvuto kabisa lakini bado iko kwenye kampeni. Hivyo vyama 15 vingeungana kupambana na sisi baba leo. Hivyo kifupi upinzani ni legalese na sisi tunachukua advantage ya ulegelege wao. 2025 upinzani wajiandae tutawaletea tena confusing candidate tena 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Truth be told, sijaona upinzani hata kidogo; nimeona tu mihemko ya madalali, vibaraka na matapeli wa siasa. Hata huyo Mzungu wao anajua washangiliaji wake kwenye kampeni walikuwa wanamsanifu tu, na wala hawakuwa wanamtakia ushindi ndiyo maana hawajampatia kura zao, badala yake wamemchagua JPM. Huwezi kutangaza mauti, vita, shari, uasi, uzushi, uongo na kupinga kila kitu halafu wananchi haohao wapenda-maendeleo wakakuchagua. No, never!
 
Upo sawa kabisa Polepole! Hawa hata kujiteka huwa wanafanya Sana tu, sembuse kuigiza kura feki! Njia ya muongo ni fupi!
 
Ila kumbuka NEC wanakataa wanasema hakuna Kura feki?
Kwanini NEC wasiseme zimetengenezwa na na CHADEMA?
 
Back
Top Bottom