Nani alizikamata? Wapi? Halafu ikawaje? Nachojua wananchi wamemwamini sana Dkt. Magufuli kwa sababu ya sera yake makini ya ustawi & maendeleo ya watu na vitu, amani na usalama wa raia; ndiyo maana wamemchagua kwa kishindo pamoja na Wabunge na Madiwani wa Sisiemu, dhidi ya Chama cha Demoghasia & Maombolezo chenye sera kakasi na tata za kuligawa taifa, kuifanya Tanzania koloni la London na Washington, kusalimisha rasilimali zetu kwa mabepari, maadili mabaya, ushari, vurugu, ghasia, machafuko, kutengengeza matukio, matusi, kashfa, uongo na kupinga kila kitu.