LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Kwa hili polepole kateleza vibaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hili polepole kateleza vibaya
Nia ni kuvuruga uchaguzi na kudanganya wananchi kuwa Ccm imeiba. Ndio maana mliweka tick kwa wagombea wa Ccm.
Amani iwe nanyi
Mkuu wa idara ya itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi, shujaa Humphrey Polepole wakati akijibu swali la kukamatwa kura feki huko Kawe na baadae kuchomwa moto na wananchi amesema makaratasi hayo ya kura feki yalichapishwa na CHADEMA na baadae wakayasambaza wenyewe kwenye vituo vya kupiga kura na kisha wakayakamata wenyewe na kuyachoma moto wenyewe kwa lengo la kuvuruga uchaguzi mkuu wa mwaka huu!!
Polepole amehoji kama hizo ni karatasi kutoka NEC kwa nini wazichome moto? Kwa nini CHADEMA hizo kura feki hawakuzipeleka polisi kwa uchunguzi?
Hayo mabegi ya kura feki kwa nini aliyekuwa nayo walimkamata na kumwachia?
HaHahaha
Nini wewee mkaldayoMgerasi wacha porojo!
🖕🏿👌🏿Amani iwe nanyi
Mkuu wa idara ya itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi, shujaa Humphrey Polepole wakati akijibu swali la kukamatwa kura feki huko Kawe na baadae kuchomwa moto na wananchi amesema makaratasi hayo ya kura feki yalichapishwa na CHADEMA na baadae wakayasambaza wenyewe kwenye vituo vya kupiga kura na kisha wakayakamata wenyewe na kuyachoma moto wenyewe kwa lengo la kuvuruga uchaguzi mkuu wa mwaka huu!!
Polepole amehoji kama hizo ni karatasi kutoka NEC kwa nini wazichome moto? Kwa nini CHADEMA hizo kura feki hawakuzipeleka polisi kwa uchunguzi?
Hayo mabegi ya kura feki kwa nini aliyekuwa nayo walimkamata na kumwachia?
Unataka kupigwa uwahi asubuhi sanaaCHADEMA walitoa wapi mihuli yamoto inayopatikana NEC? Na kama ni kweli kwa nini waliokamatwa polisi haikuwachukulia hatua hata kama ni CHADEMA wenyewe, na je kwa nini mwenyekiti wa tume alisema hakuna kura fake zilizokamtwa?
Tukutane kesho tarehe 2 barabarani, hii ni nchi yetu sote, nawala si ya CCM peke yao.
Jibu hayo Maswali. Mtuhumiwa alichiliwa au?Haoni hata aibu huyu mchumia tumbo ukimwangalia usoni hujui ni mzee au kijana.
Tarehe 2 utakuwa kwenye keyboarf yako. Huko barabarani hautaendCHADEMA walitoa wapi mihuli yamoto inayopatikana NEC? Na kama ni kweli kwa nini waliokamatwa polisi haikuwachukulia hatua hata kama ni CHADEMA wenyewe, na je kwa nini mwenyekiti wa tume alisema hakuna kura fake zilizokamtwa?
Tukutane kesho tarehe 2 barabarani, hii ni nchi yetu sote, nawala si ya CCM peke yao.
Ana umri wa baba yakoUna umri gani?
Labda tuanze na hilo.
🦁🦁🦁
Kwani yeye ndio alizishika hizo karatasiKwanini yeye asiwashtaki CHADEMA kwa kuvuruga utaratibu wa kutoa copies fake?
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Kuchoma moto watu ni kujichukukulia sheria mkononi.Stupidity comedian Mr. Polepole.
Hivi amesahau kuwa polisi ndio waliokuwa wakiwalinda hao vijana waliobebeshwa kura feki za Jiwe pindi walipotaka kuchomwa moto!!!