Uchaguzi 2020 Polepole: CHADEMA walichapisha kura feki ili kuvuruga Uchaguzi Mkuu

Uchaguzi 2020 Polepole: CHADEMA walichapisha kura feki ili kuvuruga Uchaguzi Mkuu

Jamaa yuko na points. Km walimkamata nazo kwa nn walimuachia??
 
Nia ni kuvuruga uchaguzi na kudanganya wananchi kuwa Ccm imeiba. Ndio maana mliweka tick kwa wagombea wa Ccm.

Aliyezima mitandao alikuwa anaficha CHADEMA wasilete kura za udanganyifu. Nikimuona kiongozi wa CCM kanisani anatubu siwezi kushangaa maana nafsi zitawasuta sana kuhusu vitendo walivyofanya. Hivi watu wazima mnaweza kuwa mnajadili mambo aliyotamka mtu wa propaganda
 
Kama walichapisha wao na ni kosa kisheria kwann msiwachukulie hatua.. Nyie si mnaenguvu aysee?
 
Amani iwe nanyi

Mkuu wa idara ya itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi, shujaa Humphrey Polepole wakati akijibu swali la kukamatwa kura feki huko Kawe na baadae kuchomwa moto na wananchi amesema makaratasi hayo ya kura feki yalichapishwa na CHADEMA na baadae wakayasambaza wenyewe kwenye vituo vya kupiga kura na kisha wakayakamata wenyewe na kuyachoma moto wenyewe kwa lengo la kuvuruga uchaguzi mkuu wa mwaka huu!!

Polepole amehoji kama hizo ni karatasi kutoka NEC kwa nini wazichome moto? Kwa nini CHADEMA hizo kura feki hawakuzipeleka polisi kwa uchunguzi?

Hayo mabegi ya kura feki kwa nini aliyekuwa nayo walimkamata na kumwachia?

Polepole kura feki mlizichapisha Zanzibar Government press , Maruhubi, Mliwapa likizo fupi wafanyakazi wote mkawaingiza maofisa wa Usalama TISS mkaanza kazi. Tunajua yote
Ukuta wa nje mliuongeza urefu
 
Jamaa angejua huku mitaani wanavyomchukulia angekuwa ananyamazaga tu
 
Amani iwe nanyi

Mkuu wa idara ya itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi, shujaa Humphrey Polepole wakati akijibu swali la kukamatwa kura feki huko Kawe na baadae kuchomwa moto na wananchi amesema makaratasi hayo ya kura feki yalichapishwa na CHADEMA na baadae wakayasambaza wenyewe kwenye vituo vya kupiga kura na kisha wakayakamata wenyewe na kuyachoma moto wenyewe kwa lengo la kuvuruga uchaguzi mkuu wa mwaka huu!!

Polepole amehoji kama hizo ni karatasi kutoka NEC kwa nini wazichome moto? Kwa nini CHADEMA hizo kura feki hawakuzipeleka polisi kwa uchunguzi?

Hayo mabegi ya kura feki kwa nini aliyekuwa nayo walimkamata na kumwachia?
🖕🏿👌🏿
 
CHADEMA walitoa wapi mihuli yamoto inayopatikana NEC? Na kama ni kweli kwa nini waliokamatwa polisi haikuwachukulia hatua hata kama ni CHADEMA wenyewe, na je kwa nini mwenyekiti wa tume alisema hakuna kura fake zilizokamtwa?

Tukutane kesho tarehe 2 barabarani, hii ni nchi yetu sote, nawala si ya CCM peke yao.
Unataka kupigwa uwahi asubuhi sanaa
 
kwani hatuna kazi nyingine za kufanya tuanze kumsifia magu kila mahali..hata akionea watu tusiofu akiharibu tusifu akijenga tusifu....
 
CHADEMA walitoa wapi mihuli yamoto inayopatikana NEC? Na kama ni kweli kwa nini waliokamatwa polisi haikuwachukulia hatua hata kama ni CHADEMA wenyewe, na je kwa nini mwenyekiti wa tume alisema hakuna kura fake zilizokamtwa?

Tukutane kesho tarehe 2 barabarani, hii ni nchi yetu sote, nawala si ya CCM peke yao.
Tarehe 2 utakuwa kwenye keyboarf yako. Huko barabarani hautaend
 
Stupidity comedian Mr. Polepole.
Hivi amesahau kuwa polisi ndio waliokuwa wakiwalinda hao vijana waliobebeshwa kura feki za Jiwe pindi walipotaka kuchomwa moto!!!
Kuchoma moto watu ni kujichukukulia sheria mkononi.
Hata vibaka hilindwa na polisi.
 
Dalili mbaya zilisha jionyesha.
Sikio lankifa haliitajo dawa..
 
Back
Top Bottom