Uchaguzi 2020 Polepole: Dkt. Magufuli ataendelea na mikutano ya kampeni katika mikoa 6. Mama Samia ataelekea Zanzibar

Chakubanga mwambie mgombea wenu Magufuli aje Mtwara huku Kijiji cha Kitaya kata ya Nanyamba wananchi wanamhitaji
 
Ni yule Katibu Mwenezi aliyefanikiwa zaidi kwenye uongozi huo ndani ya CCM anayetarajiwa kuongoza ushindi wa 86%+ kwa JPM mwaka huu anaongea na wanahabari.

Karibuni tuchote hekima

October 28 unachukua unaweka waaa kwa kwa Rais Magufuli na Ccm

Ushindi kwa Rais Magufuli ni 98%

Ni 98% au 86% nyie mataga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…