Uchaguzi 2020 Polepole: Dkt. Magufuli ataendelea na mikutano ya kampeni katika mikoa 6. Mama Samia ataelekea Zanzibar

Polepole anajua vema, kwenye sanduku la kura Magufuli hatoshinda.

Anachotegemea ni msaada wa vyombo vya ulinzi kuiba kura. Kila kitu kitabadilika dakika za mwisho.

Makonda jiandae kukimbia nchi, mkae na dollars kabisa kwenye mabegi yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…