Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Leo ni Jumatano ya tarehe 3 siku nyingine ambayo balozi mstaafu Humprey Polepole ameahidi kuja na pigo lingine jipya litakalowachanganya mbogamboga maslahi wazidi kupoteana
Jakamoyo ni kubwa na kimuhemuhe ni kingi.. Haijajulikana leo atasema nini lakini iko wazi kwamba atazidi kuleta mafunuo hasi na mabovu ya chama chawala
Kuna mengi yanatokea! Pengine ni kudra za Mwenyezi Mungu ama ni matokeo ya yatokanayo.. Lakini yote kwa yote tukae mkao wa kula.. Saa tatu sio mbali