kocha Nabi
JF-Expert Member
- Feb 1, 2022
- 834
- 2,410
.
wamekuwa hata hawatumii akiliWatazuiaaa lakini mwishowe wataachia.
So Leo ni 0-0Nasikia wameajiri watu kutoka Israel ni maa huckers kinoma cjui leo kama tutamuona
Wanawake mlale mapema hii ngoma tuachieni sisiNiweke kambi
Kilaza habebeki
Hao ma hacker wakawasaidie wenzao Gaza kutafuta mateka...Nasikia wameajiri watu kutoka Israel ni maa huckers kinoma cjui leo kama tutamuona
Hivi Bei ya Gas huko Kenya na Uganda ni Shilingi 2000?Leo ni Jumatano ya tarehe 3 siku nyingine ambayo balozi mstaafu Humprey Polepole ameahidi kuja na pigo lingine jipya litakalowachanganya mbogamboga maslahi wazidi kupoteana
Jakamoyo ni kubwa na kimuhemuhe ni kingi.. Haijajulikana leo atasema nini lakini iko wazi kwamba atazidi kuleta mafunuo hasi na mabovu ya chama chawala
Kuna mengi yanatokea! Pengine ni kudra za Mwenyezi Mungu ama ni matokeo ya yatokanayo.. Lakini yote kwa yote tukae mkao wa kula.. Saa tatu sio mbali
Huko mnamuona?
Huku bado ame freeze
Hii ni ishara ya Laana ikifanya kazi yake.