Polepole episode 5 ni dk 50 zijazo ila anaweza kuwahi pia

Polepole episode 5 ni dk 50 zijazo ila anaweza kuwahi pia

D56D5484-9B66-4778-9472-504424BE2D50.jpeg
 
Leo ni Jumatano ya tarehe 3 siku nyingine ambayo balozi mstaafu Humprey Polepole ameahidi kuja na pigo lingine jipya litakalowachanganya mbogamboga maslahi wazidi kupoteana

Jakamoyo ni kubwa na kimuhemuhe ni kingi.. Haijajulikana leo atasema nini lakini iko wazi kwamba atazidi kuleta mafunuo hasi na mabovu ya chama chawala

Kuna mengi yanatokea! Pengine ni kudra za Mwenyezi Mungu ama ni matokeo ya yatokanayo.. Lakini yote kwa yote tukae mkao wa kula.. Saa tatu sio mbali
Vegetable maslahi 🤣🤣🤣
 
Tupo tayari, tuwafahamishe na wengine wengi wasikose Polepole episode 5 leo hewani tarehe 3 /9/2025

Studio mic checked, headphones checked, lights checked, sound checked ... rasmi tupo hewani.....

Polepole episode namba 5​


03 September 2025​

🅻🅸🆅🅴 : POLEPOLE EPISODE NAMBA 5 ANAZUNGUMZA MUDA HUU...​


View: https://m.youtube.com/watch?v=0mWet0FmBBs
 
Back
Top Bottom