🤣 🤣 🤣 🔊Hakika. ... Pole pole is one of
View attachment 3464160
Umenakili wapi hii chiembe? Sio kuwa kuna mtu unamsema kiaina?Hakika. ... Pole pole is one of
View attachment 3464160
Chama chawala kiwalacho,kilacho taifa,mwaga upupu mwamba,slow slow hata waache kula taifa hili na watu wake!Leo ni Jumatano ya tarehe 3 siku nyingine ambayo balozi mstaafu Humprey Polepole ameahidi kuja na pigo lingine jipya litakalowachanganya mbogamboga maslahi wazidi kupoteana
Jakamoyo ni kubwa na kimuhemuhe ni kingi.. Haijajulikana leo atasema nini lakini iko wazi kwamba atazidi kuleta mafunuo hasi na mabovu ya chama chawala
Kuna mengi yanatokea! Pengine ni kudra za Mwenyezi Mungu ama ni matokeo ya yatokanayo.. Lakini yote kwa yote tukae mkao wa kula.. Saa tatu sio mbali
Namsema Pole pole na Gwajima, wako carefully arranged ili ukutane na mmojawapo baada ya siku kadhaa-idiotsUmenakili wapi hii chiembe? Sio kuwa kuna mtu unamsema kiaina?View attachment 3464172
Duuh, wamemwandikia, kapachikiwa, kashindwa kusoma🤔🤔
Club moja team mbili kila moja inajiandaa kucheza mechi hiyo hiyo
Imeishiwa mafuta!
Zitakuwa na kasi na nguvu kubwa. Mainjinia hapo wanajaribu kupunguza moto kidogo.
tusaidie kutupia link when readyLeo ni Jumatano ya tarehe 3 siku nyingine ambayo balozi mstaafu Humprey Polepole ameahidi kuja na pigo lingine jipya litakalowachanganya mbogamboga maslahi wazidi kupoteana
Jakamoyo ni kubwa na kimuhemuhe ni kingi.. Haijajulikana leo atasema nini lakini iko wazi kwamba atazidi kuleta mafunuo hasi na mabovu ya chama chawala
Kuna mengi yanatokea! Pengine ni kudra za Mwenyezi Mungu ama ni matokeo ya yatokanayo.. Lakini yote kwa yote tukae mkao wa kula.. Saa tatu sio mbali
Ila kipanya aiseeee!!!!