Polepole, hadithi ya shetani anayejibadili kuwa Malaika ilipomfalia kufanya hivyo

Polepole, hadithi ya shetani anayejibadili kuwa Malaika ilipomfalia kufanya hivyo

Nimesoma maelezo ya mdau huyo, nikasikitika sana.

Mtazamo wake unaelekea kwamba kama mambo haya yalikuwepo hata enzi za JPM, basi na sasa hayana budi yawepo.

Kwamba kama JPM hakukosolewa wakati huo (kitu ambacho si kweli), basi hapaswi kukosolewa huyu aliyepo sasa.

Inasikitisha sana.
Akifanya selective criticism (or should we say attack) targeting some people and not others for issues they are all guilty of, including Polepole himself; we have to question it.
 
Back
Top Bottom