Nimesoma maelezo ya mdau huyo, nikasikitika sana.
Mtazamo wake unaelekea kwamba kama mambo haya yalikuwepo hata enzi za JPM, basi na sasa hayana budi yawepo.
Kwamba kama JPM hakukosolewa wakati huo (kitu ambacho si kweli), basi hapaswi kukosolewa huyu aliyepo sasa.
Inasikitisha sana.