Polepole hakanyagi tena Tanzania mpaka 2030. Nimefurahi sana kayakanyaga

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Polepole alitutukana sana Watanzania tuliokuwa tukikemea mauaji, utekaji na udikteta enzi za Magufuli.

Polepole aliyekuwa mpiga domo wake maarufu wa kupangua ukweli leo yamemkuta. Kayakanyaga.

Harudi tena hapa Bongo mpaka Samia amalize uongozi wake 2030.

Akirudi tu kuna chumba maalumu Segerea kinamngoja.

Malipo hapahapa duniani
 
Yeye kutokurudi mpaka 2030, Utekaji na Mauaji yatakua yamepungua chini ya Serikali ya Samia??.



Nikisema wee ni Mjinga wakutupwa, nitakua nmekosea??.
Yata punguwa sana na huenda yasiwepo.
Lakini uuwaji nautekaji , nchi gani ilokuwa haifanyi hayo.
Marekani ndio ipo mbele kwa hilo, isiseme china au Urusi hata kenya na uganda yapo.
Saudi Arabia yapo wapi semeni.
Uraisi ni taasisi na kuna uslama ambao wanahakikisha taasii haitiwi dosari .
Jaribu kuichezea taasisi hiyo kokote duniani utakwenda na maji.
 
Usijilinganisha na marekani? Hilo taifa lilishatoka level za kuua wakosoaji wa serikal waaay back

Tena katika taifa ambalo kiongoz unatakiwa uwe mstahimilivu ni america
 
2 Wakorintho 5:17
[17]Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya.
 
Watanzania tunashida mahali!!
 
Yule atakula shavu zaidi kwenye serikali ya samia ili kunyamazishwa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…