Na mzee jiwe angefahamu kama polepole alikuwa anaongoza genge la watekaji kwa lengo la kuhujumu utawala wake najua angemfanya vibaya, Mungu mwema mama anaongozwa na Mungu miaka 4 wachawi wote wanaendelea kuumbuka akiwemo gwaji boy,chezea Mwamposa wewePolepole alitutukana sana Watanzania tuliokuwa tukikemea mauaji, utekaji na udikteta enzi za Magufuli.
Polepole aliyekuwa mpiga domo wake maarufu wa kupangua ukweli leo yamemkuta. Kayakanyaga.
Harudi tena hapa Bongo mpaka Samia amalize uongozi wake 2030.
Akirudi tu kuna chumba maalumu Segerea kinamngoja.
Malipo hapahapa duniani