Polepole hakanyagi tena Tanzania mpaka 2030. Nimefurahi sana kayakanyaga

Usijilinganisha na marekani? Hilo taifa lilishatoka level za kuua wakosoaji wa serikal waaay back

Tena katika taifa ambalo kiongoz unatakiwa uwe mstahimilivu ni america
Waliotaka kumuua Trump sio wakosoaji wake? Vip kuhusu Kennedy, Martin Ruther?
 
wameumaliza upinzani na sasa wanatafunana wenyewe kwa wenyewe, weak metal will be replaced by strong metal
BADO kidogo utasikia shaba zinaanza amini nakwambia tunako enda SIO kuzuri njia tuliochagua hakika haifai
 
Umejuaje kama samia atakua rais tena? Kwani hakuna anayeshindana naye
 
Hutuba yake Leo nimeisikiliza baada ya dada yake kutekwa kuwa wasirudishane kwenye mambo Yale Yale kwa kuwa na yeye yumo.

Kwa maneno mengine hata yeye alikuwa katika genge la watekani kipindi Cha mwendazake.

Wakulungwa tunasema malipo ni hapa hapa duniani.
 
Ungekuwa wewe ni Mungu basi ningeamini.
 
Do you really know what you’re talking about?
 
Bora hata unajua yeye atakuwa hai hiyo 2030, wewe sasa!
 
Aisee maisha haya Leo lisuu YUPO zake bongo anakula ugali fresh walio mkimbiza kipindi KILE WAPO ukimbizin kijiko kikidondoka TU presha HIYO tujifunze kuheshimu WATU dunia mali ya MUNGU nasi MTU yeyote
 
hatorudi bongo ila hatokuwa anaishi somalia
 
Kwa hiyo Polepole asirudi kwetu Tanganyika; lakini kibibi kimoja kigeni cha Zanzibar ndo kikanyage kwetu? Kenge nyie mnajidanganya, kama wa kwetu mwenyewe hayupo kwanini wa kwenu awepo?
 
SAWA ILA tumuachie MUNGU Kuna kiongozi ILIKUA agombee TENA MWAKA huu ILA hayupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…