Polepole hakanyagi tena Tanzania mpaka 2030. Nimefurahi sana kayakanyaga

Na mzee jiwe angefahamu kama polepole alikuwa anaongoza genge la watekaji kwa lengo la kuhujumu utawala wake najua angemfanya vibaya, Mungu mwema mama anaongozwa na Mungu miaka 4 wachawi wote wanaendelea kuumbuka akiwemo gwaji boy,chezea Mwamposa wewe
 
Hata awamu hii ikipita kuna watu wataishi kama digidigi

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…