Polepole hana athari zozote kisiasa na kijamii. Asanteni Watanzania kwa kumpuuza

Unaowapigania wanakosausingizi,wakati wewe unalala unakoromawenyewe wamefika mahali hawakuelewi!
Gentleman,
utajielewa tu endapo utaendelea kumpuuza na kujitenga na kubebwa ufala wa kifikra na matapeli wa kisiasa kama polepole ๐Ÿ’
 
Yaani mnaanza tena kutisha watu jameni? Yale tunayoyakataa ndio mnazidi kupanga kuyafanya? Hili gari liko liko speed 120 kulisimamisha ghafla haiwezekani.

Tuvumiliane tu, tunaumia lakini humo humo tunaponak
spidi ya utapeli, uropokaji na upotoshaji, right?

na polepole ni muongo balaa ๐Ÿ’
 
Gentleman,
utajielewa tu endapo utaendelea kumpuuza na kujitenga na kubebwa ufala wa kifikra na matapeli wa kisiasa kama polepole ๐Ÿ’
Nyie mnaowachuuza wanaopigwa mawe na akina slow slow vibarua vyenu vitaota nyasi soon,kwani kwani mmekuwa sababu zawao kupigwa mawa kwa ajili ya maneno na ushauri wenu kwao!
 
uchaguz wa Tanazania ni kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwa mujibu wa reforms.

Kumbuka,
uchaguz mkuu wa kihistoria Tanzania, mwaka huu utafanyika October 29,2015.

Mwambie na mwingine ๐Ÿ’
 
upo online JF kisha unalalamikia internet

surely?
umesoma kweli hata certificate tu wewe gentleman?๐Ÿ’


Ngoja saa mbili ifike hahaha no YouTube no anything

Wanamtandao wananguvu sana
 
Haya mazombie ndio ya kuignore, ๐Ÿ—‘ ๐Ÿšฎ basi tu inabidi tupishane nayo humu
 
Ni jambo la maana sana waTanzania wamempuuza katika umoja wao na wamebaki wamoja.
Wewe na wanaokutuma ndo mnapuuzwa, siyo Polepole..

Maoni, mtazamo na mawazo yake kwa jamii anayoihadaa hua ni upotoshaji mtupu, na ndio maana hujieleza akiwa mahali pa siri tena mafichoni ingawa hakuna mwenye haja nae.
Unataka atoke mafichoni wewe na genge lako mkamteke chap chap, au?
 
Naam Polepole ni mnafiki lkn wewe et- al, ni waandamizi.
Kwa CCM Mbowe ni gaidi alikaa ndani karibu mwaka, huyo Mpina kwa kujibu wa CCM ni mbunge wa taifa, hafai kuwa mbunge wa jimbo!.........yule mpe huyu mruke, yule arejee na kutupwa porini, huyu apotezwe kabisa.......
 
......Ninakubaliana na wewe ila swali kwa nini UNAPOTEZA MUDA KUANDIKA yote haya kama HANA IMPCT

 
......Ninakubaliana na wewe ila swali kwa nini UNAPOTEZA MUDA KUANDIKA yote haya kama HANA IMPCT
Gentleman,
najaribu kueleza ukweli kwa kina, ili kuwanusuru msibebwe ufala wa kifikra na huyo msukule. Full stop.๐Ÿ’
 
Jikiete kwenye hoja bila kujaribu kuhamisha mjadala gentleman ๐Ÿ’
 
Haya mazombie ndio ya kuignore, ๐Ÿ—‘ ๐Ÿšฎ basi tu inabidi tupishane nayo humu
jikiete kwenye hoja tu gentleman hayo ya kibinafsi unaweza kuyafanya bila mayowe ๐Ÿ’
 
Kuanzia saa 12 no internet
bando lako la jero litakua limeisha sio gentleman?
si angerikodi tu halafu awape video ya upotoshaji mbona anawahangaisha kisaikolojia hivyo ๐Ÿ’
 
kila anacho kueleza na kukubeba ufala kifikra ni upotoshaji mtupu,

nawe ulivyo na akili nyepesi unabugia tu matango pori anayokulisha ๐Ÿ’

Sheikh wangu nikikuuliza amepotosha nini hujibu. Unaruka ruka tu na kubwabwaja. Pole pole tunapasa mjibu kwa hoja. Siyo kuhorojoka tu kama hivi. Mpaka sasa hatujamjibu. Alijaribu Rostam akaharibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ