Polepole hana athari zozote kisiasa na kijamii. Asanteni Watanzania kwa kumpuuza

gentleman,
wajibu wangu ni kusaidia wadau msitapeliwe na kubebwa ufala wa kifikra na huyo msukule mpotoshaji.

you will gain nothing na utapoteza muda na bandolako for nothing

asante kumpuuza
Tusipowasikiliza wote tutapimaje na kuamua?
 
Hakika nakuambia, mwenye damu iliyojaa chembe chembe za "uzuzu " atampuuza. Hamuoni yanayoendelea?
 
Wahuni msituzimie switch leo saa 2 tafadhalin
 
Mbona weumeshindwa kumpuuza, gazeti lote hili lanini, siukaekimya tu.

Wanao mpuuza hawaandiki chochote, kumpuuzia mtu nikumkalia kimya tu, tumia akili gentleman.
 
Mtu ambaye hana athari yoyote ndo umwandikie uzi mrefu hivyo
 
Wewe unampa promo makusudi, kwanini huanzi wewe kumpuuza mpaka unakuja humu kuandika BLA,BLA,BLA , ndeeeeeefu!.
Ona Sasa Mimi nilikuwa sijui kama ataongea na umefanya nimfuatilie sasa, otherwise utuambie wewe unapatawapi taarifa zake kama haumsikilizi.
 
Madhali una upeo mdogo sana angalau unaweza kuwa ule wa kuvukia Barbara tu, huwezi kuelew athari huyu bwana Taratibu ameleta kwa chama hiki na jamii kwa ujumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…