#COVID19 Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

Alafu baadae utakuja kusikia wapinzani bwana, hawataki kushirikiana kwenye ishu za kitaifa! Utakapobanwa na kitu ukihitaji ushirikiano wa kitaifa usije kusahau kuwa unaomba kushirikiana na corona
 
Haaahaaa. Kumbe kuna pesa zilichangwa na wabunge kwa nguvu! Wananchi sina hakika ila wabunge wote walilazimishwa.
 
Haaahaaa. Kumbe kuna pesa zilichangwa na wabunge kwa nguvu! Wananchi sina hakika ila wabunge wote walilazimishwa.
Hayo ni yako,ila ujumbe mliupata ndio maana na Jiwe naye akakurupuka kwenda kumlipia Msigwa wakati akijua kabisa CDM ilishamlipia!
 
Ni aibu,fedheha na jambo duni sana kufananisha watu na ugonjwa tena ugonjwa serious ulioua watu. Kama siasa za matusi zimepigwa marufuku basi mwenyekiti amtake huyu muenezi kuomba radhi kwa kutoa kauli chafu!

Huwezi kudai siasa safi huku unatusi watu hata kama unaitumia dola utakavyo,kesho wanachadema wakitukana mnawashika na kuwafunga manake nini?

Tubadilike
 
Utani unaochoma bila kumuumiza muhusika hauna shida. Sisi wengine ni mashabiki tu, tunachofanya ni kuchochea. CHADEMA na CCM ni wanandugu, tuache uchochezi.
 
Sasa mbona mnaomba omba?
Inaposemwa kuwa sisi ni matajiri ni kweli. Tuna natural resources nyingi sana ambazo ni utajiri kakini hazijatumiwa vizuri kuifanya nchi yetu kuwa tajiri. Sio kwamba tuna mapesa yamaejaa hazina.

In God we Trust
 
Wapinzani waliita korona sasa imefika. wanalo. wahangaike nalo.
 
Kwa hiyo ID yako sikushangai
Sio kwamba upinzani wote umeshaangamizwa. Sasa chuki ya CCM v Upinzani inatoka wapi?
Kama mwenyekiti Cdm alizomewa Hai jimboni kwake utasema bado kuna upinzani!

In God we Trust
 
Ndiyo maana ukiwa mwana ccm inabidi uondoe mishipa yote ya aibu. Bome-e,

In God we Trust
 
Hivi ni kwanini mpumbavu hawezi kuficha upumbavu wake hata wakati watu wanapokuwa ktk matatizo.

Kweli mpumbavu hata umtwange kwenye kinu awe unga ukipima concentration ya upumbavu uko palepale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…