kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wameshapewa tayari ni suala ma muda tu, Mungu hadhihakiwi hata siku moja. Tulia utaona.Serously.
Mungu atawapa anguko baya hawa jamaa
Haaahaaa. Kumbe kuna pesa zilichangwa na wabunge kwa nguvu! Wananchi sina hakika ila wabunge wote walilazimishwa.Sasa kama upinzani haupo,inakuwaje kila kukicha hamuishi kuwataja?Inakuwaje huyu anasema upinzani unapaswa kutokomezwa?Kama upinzani umekufa,achieni wafanye siasa na pia achieni ipatikane tune huru!
Haya ya upinzani kufa ni miaka nenda rudi tunayasikia lakini ndio wanazidi kuongeza wanachama na kuimarika zaidi!
Au umesahau mlivyopata mshangao baada ya zoezi la kuchangisha fedha za kuwatoa akina Mbowe?Hahahaaaa
Hayo ni yako,ila ujumbe mliupata ndio maana na Jiwe naye akakurupuka kwenda kumlipia Msigwa wakati akijua kabisa CDM ilishamlipia!Haaahaaa. Kumbe kuna pesa zilichangwa na wabunge kwa nguvu! Wananchi sina hakika ila wabunge wote walilazimishwa.
Saivi kashika hela anaanza kuwakuwa kama kijana hivi.... japo kiakili anadumaa inakuwakuwa kama nusu 'tararira' vileHivi pole pole Ni mzee au kijana?? Binafsi sijawahi mwelewa huyo jamaa kuanzia mwonekano wake mpaka sauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaposemwa kuwa sisi ni matajiri ni kweli. Tuna natural resources nyingi sana ambazo ni utajiri kakini hazijatumiwa vizuri kuifanya nchi yetu kuwa tajiri. Sio kwamba tuna mapesa yamaejaa hazina.
Sio kwamba upinzani wote umeshaangamizwa. Sasa chuki ya CCM v Upinzani inatoka wapi?
Kama mwenyekiti Cdm alizomewa Hai jimboni kwake utasema bado kuna upinzani!
Yaani ilivyo sura yake inaakisi roho yake
Yaani ningekuwa mimi mungu ningempa hiyo corona tena ya kifo kabisa na ndie angekuwa mtanzania wa kwanza kufa na corona