Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Hivi toke lini BBC isemw chochote kizuri kuhusu irani,ni sawa na magufuli asimame public aanze kuisifia chadema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Mungu alivyo mwema wakati wote utaona corona limeingia ktk Kasri la mtukufu bila hodi. Halafu utamsikia Malaika mkuu akisema naona hii sasa ni kazi ya Wazee wa Chamwino hii mnaleta Corona mpka Ikulu. Baada ya ile kazi ya wazee wa Ruangwa.Wengine wameikimbia dar baada ya corona kutua!Nasikia ikulu ya dodoma itamzoea sana kipindi hiki!
Navyo kuona kama vile unataka kwenda Iran kushuhudia hali halisi. Shauri yako bnaa vitu vingine ukisikia amini tuu na kuchukua tahadhari.Mkuu una uhakika na huo muda, kwamba kila dakika anaondoka mtu??
Utakapo kuwa umeshikwa mbupu na Korona ndio Akili itakurudi na kuona hii ni mihemuko au unakufa. Ignorance is bliss.Acha upotoshaji punguza mihemko
Hivi toke lini BBC isemw chochote kizuri kuhusu irani,ni sawa na magufuli asimame public aanze kuisifia chadema.
Ni hao hao CCM waliotufikisha hapo!Wamechoka utapeli,wanaon CCM inatekeleza.Jamaa alipata aibu sana.
He is a certified idiotWho is polepole ?
I've never heard about him.
Can anyone let me know ?
Sent using Jamii Forums mobile app
.Hiki kizee mbona kina akili mbovu sana! Kweli nimeamini ukitaka kuwa mwana ccm ni lazima akili yako timamu uiache uvae ya utaahira.
Wewe wa wapi wewe, unasema hawezi kutumia wakati ameshatumia.Wetu? Pamoja na kuwa sio wetu hawezi kutumia lugha kama uliyotumia.