#COVID19 Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

#COVID19 Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

Italy kwa siku ya leo wamefariki watu 600+.
Watafiti wanasema bado kama wiki mbili hali hiyo ifikie kelele.

Mungu atunusuru.





.
Beggars can't be choosers
 
Wengine wameikimbia dar baada ya corona kutua!Nasikia ikulu ya dodoma itamzoea sana kipindi hiki!
Na Mungu alivyo mwema wakati wote utaona corona limeingia ktk Kasri la mtukufu bila hodi. Halafu utamsikia Malaika mkuu akisema naona hii sasa ni kazi ya Wazee wa Chamwino hii mnaleta Corona mpka Ikulu. Baada ya ile kazi ya wazee wa Ruangwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu una uhakika na huo muda, kwamba kila dakika anaondoka mtu??
 
Dah!....Kuna umuhimu wa kuongeza kiwango cha tahadhari.
 
Ndo hapo sasa. Kwa sasa hivi kote Duniani, virusi vya Corona vimeikung'uta zaidi Italy kuliko nchi nyingi e yeyote. Yaani maafa ya hivi virusi ni makubwa Italy kuliko hata huko china vilipoanza. Iran labda ishike nafasi ya 4. Ila kwa vile mmarekan na mshirika wake uingereza hawaipendi Iran lazima waseme hivyo, ila ukweli unajulikana
Hivi toke lini BBC isemw chochote kizuri kuhusu irani,ni sawa na magufuli asimame public aanze kuisifia chadema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu kisaidie chama changu, ukiokowe kwenye hii mikono yenye moto.

Ndugu Kinana wewe ni mtu wa peponi, maanake ulimdhibiti vizuri sana huyu bwana, na pale Lumumba palikuwa na discipline, siku hizi yeye na Bashiru kazi yao ni ketengeneza mbinu za oer diem (posho)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah nipo Brazil ninashuhudia jinsi serikali inavyowajali raia wake ili kuwakinga na maradhi haya.....ila nikirudi nchini kwangu naumia sana
Maana kwa kauli kama hizi inaonesha ni jinsi gani serikali ya CCM haioni umuhimu wowote wa kusaidia raia wake

MY TAKE: corona haichagui ndo uzuri wa huu ugonjwa wajione miungu watu itawapiga tu na visukari vyenu na UKIMWI ndo kuondoka sekunde tu ni suala la muda tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hiki kizee mbona kina akili mbovu sana! Kweli nimeamini ukitaka kuwa mwana ccm ni lazima akili yako timamu uiache uvae ya utaahira.
.
IMG-20191017-WA0005.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom