Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Polepole yupo katika mood ya kuchanganyikiwa kisiasa.
He has not been a bright fellow all along.
He is not even a Thinker.
Opportunist?-YES.
Polepole alichomoza wakati wa mjadala ya Katiba Mpya, na hadi leo sijui alikuwa akimuwakilisha nani, maana alikuwa aki blast the Political Status Quo.
Wakati wa JPM na hata baada ya kupata madaraka, maajabu yakatokea.
AKASIFIA MA V8
Na raha zake, pamoja na AC zake!
Pamoja na ushamba, ile ilikuwa stark exposure ya opportunist Polepole.
Hizi ndiyo dalili za material opportunism!
Sasa yuko mitaani baada ya mentor wake Magufuli kufariki.
Ati akaanzisha Darasa la Siasa.
WHOM IS HE FOOLING?
Polepole hana mizizi ya kisiasa
Polepole hana ubavu wa mali wala wa kisiasa.
Polepole hana wafuasi wowote kisiasa, hana appeal yoyote.
Kuwatetea machinga ni ile opportunists appeal kujaribu kupata political capital.
It failed miserably!
Mimi namshauri Polepole aingie mitini tu, kama Bashiru.
No body will miss him.