Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona umesha panic.Kwani Polepole ana hoja ipi ya msingi? Yaani nini hoja yake na ikiwa anayo anataka nini Ili hiyo hoja yake ikamilike au itekelezwe? Binafsi sikuwa kumuona Polepole akiwa na hoja hata mara moja (tangu enzi hizo) zaidi ya kumuona mpayukaji tu.
Hawa nao tunawaweka kundi la pole pole au?Polepole wacha avune alichokipanda na hata ukimtetea hautafanikiwa kamwe
Watu wawili hawawezi kuligeuza taifa liwe la chama kimoja, haya yalikuwa mawazo potofu yaliyojengwa kwenye msingi wa hofu.
Sihangaiki na wasaga sumu kama wewe
haki yenu inaangalia upande mmoja tu.Sihangaiki na wasaga sumu kama wewe
Na hawa ulijiuliza?Ana unafiki wa hali ya juu mno mi huwa najiuliza hivi huyu ndie polepole wa nyakati za kukusanya maoni ya katiba mpya au ??amekuwa ni mtu wa ajabu sana kumbe ni msaka fulsa tu hana hata anachokiamini.
Polepole anajijua[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ufunuo 3:15-16
Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama ungekuwa baridi au moto. Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu.
Nyerere alikuwa mkuu wa nchi, hao Polepole na Bashiru uliowataja walikuwa kina nani?Nyerere peke yake aliweza kuligeuza hili taifa kuwa la chama kimoja kwa miaka 25
Nyerere alikuwa mkuu wa nchi, hao Polepole na Bashiru uliowataja walikuwa kina nani?
Mkuu ndiyo maana nimeweka hiyo clip ya Polepole na ma V8.Polepole avumiliwe tu atoe maoni yake, ni haki yake kisheria, na naona itapendeza zaidi kama hoja zake zikijibiwa kwa hoja sioni sababu ya ku-refer alikotoka au alichowahi kusema.
Nasema hivyo nikiwa na maana kwamba, Polepole asijekuwa na pointi ya msingi halafu tukashindwa kuisikiliza kwa kwasababu ya kumuhukumu kwa past.
Inajulikana wapo baadhi ya wanasiasa waliowahi kuongea pumba siku za nyuma lakini leo wakiongea tunawasikiliza, kwanini isiwe hivyo kwa Polepole?
Sioni sababu kuwaogopa Polepole na Bashiru, walikuwa subordinates tu wanaotumwa.Polepole, huna ubavu wa kisiasa, you are overrating yourself!
Polepole hakuijua vizuri CCM though alishika cheo kikubwa kabisa. Namshauri akae kimya, maana wakati anatamba na ma vi eiteee sisi hatukuruhusiwa kutia neno. Otherwise anajipalia makaa, hiyo haki ya kusikilizwa ndo kaijua leo siyo ?www.jamiiforums.com
Hebu orodhesha hizo hoja za Polepole zinazohitaji majibu?! Halafu siyo hoja kila moja zinatakiwa kujibiwa hasa wapiga kelele kama huyu. Polepole anatakiwa kuonywa vikali aache kelele badala ya kupoteza energy kumjibu.Polepole ni kichwa zaidi ya Shaka no doubt about it, nimegundua wengi hukwepa hoja zake kwa kujificha kwenye vivuli vya "sukuma gang" etc, mambo ya kipuuzi kabisa, Polepole ajibiwe kwa hoja , sio vitisho au kejeli, hizi akili migando zikemewe kama mapepo wachafu.
Polepole kwenye issue ya Katiba pendekezwa alikuwa na "mawe" namkumbuka vizuri sana, na bado ninaamini hicho kichwa chake bado kina yale "mawe" kama ni kumuhukumu kwa alichowahi kusema, wanasiasa wangapi wamewahi kwenda kinyume na misimamo yao na bado leo wakiongea tunawasikiliza?Mkuu ndiyo maana nimeweka hiyo clip ya Polepole na ma V8.
Historically Polepole hajawahi kuwa Thinker, kwa maana ya kuelezea siasa from principles.
Polepole hana principles zozote to speak of.
Msubiri baadae saa tano asubuhi.Hebu orodhesha hizo hoja za Polepole zinazohitaji majibu?! Halafu siyo hoja kila moja zinatakiwa kujibiwa hasa wapiga kelele kama huyu. Polepole anatakiwa kuonywa vikali aache kelele badala ya kupoteza energy kumjibu.
Usemage pole pole sio kumtisha mwenzioView attachment 2040058Polepole yupo katika mood ya kuchanganikiwa kisiasa.
He has not been a bright fellow all along.
He is not even a Thinker.
Opportunist?-YES.
Polepole alichomoza wakati wa mbadala ya Katiba Mpya, na hadi leo sijui alikuwa akimuwakilisha nani, maana alikuwa aki blast the Political Status Quo.
Wakati wa JPM na hata baada ya kupata madaraka, maajabu yakatokea.
AKASIFIA MA V8!
Na raha zake, pamoja na AC zake!
Pamoja na ushamba, ile ilikuwa stark exposure kwa opportunist.
Hizi ndiyo dalili za material opportunism!
Sasa yuko mitaani baada ya mentor Magufuli kafariki.
Ati akaanzisha Darasa la Siasa.
WHOM IS HE FOOLING?
Polepole hana mizizi ya kisiasa
Polepole hana ubavu wa mali wala wa kisiasa.
Polepole hana wafuasi wowote kisiasa, hana appeal yoyote.
Kuwatetea machinga ni ile opportunists appeal kujaribu kupata political capital.
It failed miserably!
Mimi namshauri Polepole aingie mitini tu, kama Bashiru.
No body will miss him.
Nyerere alikuwa mkuu wa nchi, hao Polepole na Bashiru uliowataja walikuwa kina nani?