Polepole, huna ubavu wa kisiasa, you are overrating yourself!

Gwajiboy na Polepole wanasubiriwa kwahamu na ile Kanda,hasa baada ya kuonyesha msimamo thabiti juu ya chanjo.
Ina maana wasukuma wote hakuna anayeipenda chanjo au hakuna aliyechanja?

Hapo siwezi kukubali kabisa kuwa walisuusia chanjo bali Gwaji alikuwa na maslahi binafsi
 
Jabali lilitamuka chanjo hazifai,na ndo mtu pekee watu wa Kanda pendwa wa walimuamini.

Kujitenga na mtazamo wa Jiwe no samaki nje ya bwawa.
 
Jamaa aliwapoteza sana ndugu zake
 
And thats the paradox
Polepole kazungumzia "wahuni", watu ambao in political terms ameshindwa kuwa define!
Pole pole kazungumzia wahuni , halafu kajikuta na yeye mwenyewe yumo kundi hilo hilo la wahuni.
Na mpo wengi wahuni, political vagabonds!
Nafikiri ni muda wake sasa wa kufundishwa adabu na hilo limekuja by suprise kama alivyowatabiria wenzie😂 atafte kazi nyengine😂
 
Attachments

  • FullSizeRender.mov
    15.5 MB
...Kwa mtizamo wangu nashauri Mh Polepole akubaliane na uhalisia kuwa hapo mwanzo alikuwa na nguvu kubwa ya madaraka na sasa ni zamu ya wengine, ndivyo ilivyo madaraka kupokezanana na maisha yanaendelea. Nashauri ajikite ktk ubunge wake na kuendelea kukitumikia chama cha mapinduzi ambacho ndicho kimemfanya kuwa mbunge leo.

Aache maisha yaendelee ndivyo ilivyo ktk mzunguko wa siasa. Watu pekee wanaobaki ktk nguvu ya siasa ya milele na ushawishi wa kudumu ni wale wenye uongozi wa kupendwa na wananchi wenyewe (kipaji)

mfano nguvu ya kisiasa ya Mwalimu Nyerere ilidumu mpk kifo chake kwa sababu nguvu yake ya ushawishi ilikuwa ya asili na haikutegemea sana urais wake bali kipaji chake.
 
Ujamaa wa kukana katiba mpya ambayo aliipigania. Umaarufu wa Polepole ulianzia kwenye katiba mpya. Lakini kwa sababu ya njaa zake (ndio kununuliwa kwenye) aliikana mazima hiyo katiba. Unataka atembee uchi ndio uamin kuwa ni malaya wa kisiasa mwenye maslahi ya tumbo lake tu?
Nyinyi mnamwonea tu Polepole, Yeye alikuwa mkusanya maoni ya wananchi tu,alivyomaliza kukusanya wakayapeleka bunge la katiba,wakina Polepole hawakurusiwa kuingia humo kwenye bunge la katiba,wakabaki kutolea ufafanuzi kwenye makongamano na tv station, maoni yalivurugiwa kwenye bunge la katiba,walianza kunyofoa vipengere vyote vyenye kuwajibisha Serikali na mambo yaliyousu muungano,hapo ndipo mvurugano wa katiba ulikoanzia,sasa Hapo Polepole aliusika vipi kuvuruga maoni ya katiba, wakati akurusiwa hata kuingia kutoa hata ufafanuzi tu.Acheni chuki na Polepole
 
Polepole avumiliwe tu atoe maoni yake, ni haki yake kisheria, na naona itapendeza zaidi kama hoja zake zikijibiwa kwa hoja sioni sababu ya ku-refer alikotoka au alichowahi kusema.

Nasema hivyo nikiwa na maana kwamba, Polepole asijekuwa na pointi ya msingi halafu tukashindwa kuisikiliza kwasababu ya kumuhukumu kwa past.

Inajulikana wapo baadhi ya wanasiasa waliowahi kuongea pumba siku za nyuma lakini leo wakiongea tunawasikiliza, kwanini isiwe hivyo kwa Polepole?
Sio kwa Watanzania ndg.
Hapa watu wanataka kusikia wanayoyapenda tu
 
Polepole avumiliwe tu atoe maoni yake, ni haki yake kisheria, na naona itapendeza zaidi kama hoja zake zikijibiwa kwa hoja sioni sababu ya ku-refer alikotoka au alichowahi kusema.

Nasema hivyo nikiwa na maana kwamba, Polepole asijekuwa na pointi ya msingi halafu tukashindwa kuisikiliza kwasababu ya kumuhukumu kwa past.

Inajulikana wapo baadhi ya wanasiasa waliowahi kuongea pumba siku za nyuma lakini leo wakiongea tunawasikiliza, kwanini isiwe hivyo kwa Polepole?
Mkuu huwa napenda sana comments zako maana huwa unatumia akili badala ya mihemko na kuendeshwa na uchama.
 
Polepole avumiliwe tu atoe maoni yake, ni haki yake kisheria, na naona itapendeza zaidi kama hoja zake zikijibiwa kwa hoja sioni sababu ya ku-refer alikotoka au alichowahi kusema.

Nasema hivyo nikiwa na maana kwamba, Polepole asijekuwa na pointi ya msingi halafu tukashindwa kuisikiliza kwasababu ya kumuhukumu kwa past.

Inajulikana wapo baadhi ya wanasiasa waliowahi kuongea pumba siku za nyuma lakini leo wakiongea tunawasikiliza, kwanini isiwe hivyo kwa Polepole?
Ya nini kumsikiliza opportunist?!! Ili nini hasa? Tumekosa watanzania wa kuwasikiliza?!!!!! Unamsikiliza mtu asiye na principles, hajulikani ata anasimamia nini!!! Angebakia polepole wa katiba au angeibuka wakati wa dikteta akasimamia kimoja tungemuelewa. Huyu hana lolote la kusikilizwa...watu kama hawa Baba Wa Taifa aliwata malaya wa kisiasa. Sasa tumsikilize malaya?!!! Tumsilize kiroboto??!!!
 
Polepole avumiliwe tu atoe maoni yake, ni haki yake kisheria, na naona itapendeza zaidi kama hoja zake zikijibiwa kwa hoja sioni sababu ya ku-refer alikotoka au alichowahi kusema.

Nasema hivyo nikiwa na maana kwamba, Polepole asijekuwa na pointi ya msingi halafu tukashindwa kuisikiliza kwasababu ya kumuhukumu kwa past.

Inajulikana wapo baadhi ya wanasiasa waliowahi kuongea pumba siku za nyuma lakini leo wakiongea tunawasikiliza, kwanini isiwe hivyo kwa Polepole?
Sukumbuki mwanasiasa aliyekuwa akiongea pumba huko nyuma ambaye leo tunamsikiliza na kumtilia maanani. Kama ni wachumia tumbo enzi za jiwe tunawafamu - hawana value-addition yoyote. Hawana kipya cha kutufunza.

Polepole amepoteza moral credibility kuzungumzia utawala bora baada ya kujiunga na kupigia debe regime iliyokanyaga katiba, demokrasia, haki za binadamu na utawala wa sheria. Nothing to learn from him. We better exploit other sources.
 
Back
Top Bottom