kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Mademu zake wanasemaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jisemee wewe na Chadema wenzako ndo mnachuki nae, watanzania wengi tunaoumizwa na namna nchi inavyoenda tunamwelewa sana Pole pole.Polepole nje ya chama huo mvuto aupate wapi?
Nani mtu wa kumjali au kumfikiria Polepole hapa Tanzania ukiwaacha wanao mtegemea?
Ana mvuto gani kisiasa?
Polepole does not fit Awamu ya 6.Jisemee wewe na Chadema wenzako ndo mnachuki nae, watanzania wengi tunaoumizwa na namna nchi inavyoenda tunamwelewa sana Pole pole.
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Usiseme watanzania wengi bali sema wasukuma wenzako.Jisemee wewe na Chadema wenzako ndo mnachuki nae, watanzania wengi tunaoumizwa na namna nchi inavyoenda tunamwelewa sana Pole pole.
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Polepole nje ya ccm ya jiwe ni sawa na kambale nje ya bwawa tu hana lolote na hana loloteJisemee wewe na Chadema wenzako ndo mnachuki nae, watanzania wengi tunaoumizwa na namna nchi inavyoenda tunamwelewa sana Pole pole.
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Chama kiko kwa Mabepari sasa, Mjamaa hawezi kugusa!Mbele ya umma wa wanachi wa kawaida polepole ana ushawishi mkubwa na anaeleweka.
Ikipendeza kwa vibrant democracy tuliyonayo angepewa nafasi akatoa mawazo yake na yakasaidia ccm.
Anahitaji toba.Wakati wa JPM na hata baada ya kupata madaraka, maajabu yakatokea.
AKASIFIA MA V8!
Na raha zake, pamoja na AC zake!
Pamoja na ushamba, ile ilikuwa stark exposure kwa opportunist.
Hizi ndiyo dalili za material opportunism[emoji1534][emoji1533]
Huyo shetani mbona alishiriki wazo la kujibiwa Lisu kwa risasi badala ya hoja?.Polepole ni kichwa zaidi ya Shaka no doubt about it, nimegundua wengi hukwepa hoja zake kwa kujificha kwenye vivuli vya "sukuma gang" etc, mambo ya kipuuzi kabisa, Polepole ajibiwe kwa hoja , sio vitisho au kejeli, hizi akili migando zikemewe kama mapepo wachafu.
Mchumia tumbo na njaa kali tuPolepole angekuwa na msimamo basi asingekubali kuteuliwa kuwa dc wa ubungo.
Kumbuka kwenye ukusanyaji wa maoni ya katiba pendekezwa ya mzee Warioba alivyo kuwa analaani vyeo vya udc.
umeonaeeeeee?Mchumia tumbo na njaa kali tu
Tetesi ni kwamba amshaanza kubanwa.Polepole nje ya ccm ya jiwe ni sawa na kambale nje ya bwawa tu hana lolote na hana lolote
Labda anawachochea sukuma gang wenzake wazidi kuipinga serikliTetesi ni kwamba amshaanza kubanwa.
Darasa lake la Siasa limeambiwa ni uchochezi.
Kwamba TCRA wamemwiita, basi system imemuanzia mbali.Labda anawachochea sukuma gang wenzake wazidi kuipinga serikli
Inaelekea hajui kuwa JPM kalala usingizi wa milele.Polepole nje ya ccm ya jiwe ni sawa na kambale nje ya bwawa tu hana lolote na hana lolote