Polepole, huna ubavu wa kisiasa, you are overrating yourself!

Polepole, huna ubavu wa kisiasa, you are overrating yourself!

Kwani hao ccm ruzuku wanapata sh ngapi kila mwaka kutoka serikalini
 
Polepole avumiliwe tu atoe maoni yake, ni haki yake kisheria, na naona itapendeza zaidi kama hoja zake zikijibiwa kwa hoja sioni sababu ya ku-refer alikotoka au alichowahi kusema.

Nasema hivyo nikiwa na maana kwamba, Polepole asijekuwa na pointi ya msingi halafu tukashindwa kuisikiliza kwasababu ya kumuhukumu kwa past.

Inajulikana wapo baadhi ya wanasiasa waliowahi kuongea pumba siku za nyuma lakini leo wakiongea tunawasikiliza, kwanini isiwe hivyo kwa Polepole?
Kwani na tundu lisu si alikuwa anatoa naomi yake yake ambayo kisheria yaliruhusiwa??? Mbona alimimiwa risasi kama kifaru na akaitwa majina yote mabaya?????
Ccm wanafiki sana
 
View attachment 2040058

Polepole yupo katika mood ya kuchanganyikiwa kisiasa.

He has not been a bright fellow all along.

He is not even a Thinker.

Opportunist?-YES.

Polepole alichomoza wakati wa mjadala ya Katiba Mpya, na hadi leo sijui alikuwa akimuwakilisha nani, maana alikuwa aki blast the Political Status Quo.

Wakati wa JPM na hata baada ya kupata madaraka, maajabu yakatokea.

AKASIFIA MA V8
Na raha zake, pamoja na AC zake!
Pamoja na ushamba, ile ilikuwa stark exposure ya opportunist Polepole.
Hizi ndiyo dalili za material opportunism!
Sasa yuko mitaani baada ya mentor wake Magufuli kufariki.
Ati akaanzisha Darasa la Siasa.

WHOM IS HE FOOLING?
Polepole hana mizizi ya kisiasa
Polepole hana ubavu wa mali wala wa kisiasa.
Polepole hana wafuasi wowote kisiasa, hana appeal yoyote.

Kuwatetea machinga ni ile opportunists appeal kujaribu kupata political capital.
It failed miserably!

Mimi namshauri Polepole aingie mitini tu, kama Bashiru.
No body will miss him.
If he’s so irrelevant and such a worthless piece of shit, why are you all obsessing on him then? Let him do his Shule ya Uongozi thing in peace.
 
Ustadh! Half rey
Screenshot_20211213-133526.jpg
 
Aje tuu tushirikiane kupata katiba mpya, na darasa la uongozi liwe darasa la umuhimu wa Katiba mpya, labda tutamuelewa
 
If he’s so irrelevant and such a worthless piece of shit, why are you all obsessing on him then? Let him do his Shule ya Uongozi thing in peace.
When shit hits the ceiling fan, one has got to protest-at the consequenes, abnoxious smell all over!
 
View attachment 2040058

Polepole yupo katika mood ya kuchanganyikiwa kisiasa.

He has not been a bright fellow all along.

He is not even a Thinker.

Opportunist?-YES.

Polepole alichomoza wakati wa mjadala ya Katiba Mpya, na hadi leo sijui alikuwa akimuwakilisha nani, maana alikuwa aki blast the Political Status Quo.

Wakati wa JPM na hata baada ya kupata madaraka, maajabu yakatokea.

AKASIFIA MA V8
Na raha zake, pamoja na AC zake!
Pamoja na ushamba, ile ilikuwa stark exposure ya opportunist Polepole.
Hizi ndiyo dalili za material opportunism!
Sasa yuko mitaani baada ya mentor wake Magufuli kufariki.
Ati akaanzisha Darasa la Siasa.

WHOM IS HE FOOLING?
Polepole hana mizizi ya kisiasa
Polepole hana ubavu wa mali wala wa kisiasa.
Polepole hana wafuasi wowote kisiasa, hana appeal yoyote.

Kuwatetea machinga ni ile opportunists appeal kujaribu kupata political capital.
It failed miserably!

Mimi namshauri Polepole aingie mitini tu, kama Bashiru.
No body will miss him.
Ukiona wahuni hamlali mko bize nae hadi kumvamia basi jua mzalendo huyu polepole anawanyima usingizi.
Unaweza bisha ukitaka ila mpaka umepata muda wa kumfungulia uzi ni wazi jamaa anakupa wakati mgumu...
 
Back
Top Bottom