Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
If this isn't a spot on description of Pole Pole I don't know what will ever be.View attachment 2040058Polepole yupo katika mood ya kuchanganikiwa kisiasa.
He has not been a bright fellow all along.
He is not even a Thinker.
Opportunist?-YES.
Polepole alichomoza wakati wa mbadala ya Katiba Mpya, na hadi leo sijui alikuwa akimuwakilisha nani, maana alikuwa aki blast the Political Status Quo.
Wakati wa JPM na hata baada ya kupata madaraka, maajabu yakatokea.
AKASIFIA MA V8!
Na raha zake, pamoja na AC zake!
Pamoja na ushamba, ile ilikuwa stark exposure kwa opportunist.
Hizi ndiyo dalili za material opportunism!
Sasa yuko mitaani baada ya mentor Magufuli kafariki.
Ati akaanzisha Darasa la Siasa.
WHOM IS HE FOOLING?
Polepole hana mizizi ya kisiasa
Polepole hana ubavu wa mali wala wa kisiasa.
Polepole hana wafuasi wowote kisiasa, hana appeal yoyote.
Kuwatetea machinga ni ile opportunists appeal kujaribu kupata political capital.
It failed miserably!
Mimi namshauri Polepole aingie mitini tu, kama Bashiru.
No body will miss him.
Pole anaishi kwenye denial ya kuwa anakubalika sana na kuwa ana wafuasi wengi. Anasahau relevance pekee aliyokuwa nayo ni kuwa alikuwa kibaraka wa Magufuli. Hii inamaanisha umaarufu wake na thamani yake vimeondoka na Magufuli.
Ni swala la wakati atasahaulika kabisa kama alishawahi hata kuexist.
Haya madarasa yake ya uongozi yatabadilika kuwa madarasa ya mapishi.