masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Balozi Polepole kaonyesha kivitendo maana halisi ya Demokrasia.
Hakutaka kuwa mtu mnafiki, kucheka usoni lakini hukubaliani na yanayotokea hadharani kisiasa.
Kaonyesha kuwa UCHAWA NI DHAMBI ya nafsi.
Kujiuzulu kwake Polepole kutamjengea heshima in the long run.
Bila kuonyesha sababu zake za kujiuzulu, mimi nawaambia wanasiasa wa Tanzani, kujiuzulu ni a BIG STATEMENT.
Kuna mtu hapa kasema atagombea, na baada ya siku mbili akasema hagombei-suluhisho ni kujiuzulu na kuweka mambo wazi.
Unyoofu wa moyo hata katika siasa ni kiyu chema.