masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Jifunze Demokrasia ya kukubali kutokubaliana(Agree to Disagree).Ni walewale tuu
Sasa na aliyepokea barua aikubali hiyo demokrasia sio kuanza mipasho na vijembe kama tuko barazani kwa mama halima.View attachment 3405400
Balozi Polepole kaonyesha kivitendo maana halisi ya Demokrasia.
Hakutaka kuwa mtu mnafiki, kucheka usoni lakini hukubaliani na yanayotokea hadharani kisiasa.
Kaonyesha kuwa UCHAWA NI DHAMBI ya nafsi.
Kujiuzulu kwake Polepole kutamjengea heshima in the long run.
Bila kuonyesha sababu zake za kujiuzulu, mimi nawaambia wanasiasa wa Tanzani, kujiuzulu ni a BIG STATEMENT.
Kuna mtu hapa kasema atagombea, na baada ya siku mbili akasema hagombei-suluhisho ni kujiuzulu na kuweka mambo wazi.
Unyoofu wa moyo hata katika siasa ni kiyu chema.
Ha ha ha!Sasa na aliyepokea barua aikubali hiyo demokrasia sio kuanza mipasho na vijembe kama tuko barazani kwa mama halima.
Bado nasisitiza Polepole na CCM ni lila na filaJifunze Demokrasia ya kukubali kutokubaliana(Agree to Disagree).
Hapo ndio maana jinsi ya kusaidiana kufika the middle ground.
View attachment 3405400
Balozi Polepole kaonyesha kivitendo maana halisi ya Demokrasia.
Hakutaka kuwa mtu mnafiki, kucheka usoni lakini hukubaliani na yanayotokea hadharani kisiasa.
Kaonyesha kuwa UCHAWA NI DHAMBI ya nafsi.
Kujiuzulu kwake Polepole kutamjengea heshima in the long run.
Bila kuonyesha sababu zake za kujiuzulu, mimi nawaambia wanasiasa wa Tanzani, kujiuzulu ni a BIG STATEMENT.
Kuna mtu hapa kasema atagombea, na baada ya siku mbili akasema hagombei-suluhisho ni kujiuzulu na kuweka mambo wazi.
Unyoofu wa moyo hata katika siasa ni kiyu chema.
Hivi waTz mbona tunakuwa wajuaji sana na hatujui tunachokitafuta..... kifupi bado adui ujinga ni tatizo,mtu asipowajibika anatukanwa sana,mtu asiposema anachokiamini anaonekana ni muoga.Sasa Polepole kafanya kile anachokiamini wewe unasema ni drama hawezi kuacha asali..........kuna shida sanaDrama ndg.
Unaamini kwamba anaacha asali?
Kusisitiza kwako ni kielelezo cha ugumu wa moyo wako.Bado nasisitiza Polepole na ccm ni lila na fila
Watajulikana taratibu wote wapo upande gani, usishangae ndugu. ni dalili hizi. Namsubiri Mheshimiwa THE BIG SHOW atoe muhadhara kuntu kuhusu hili.Jifunze Demokrasia ya kukubali kutokubaliana(Agree to Disagree).
Hapo ndio maana jinsi ya kusaidiana kufika the middle ground.
Wote wamekunywa uji wa mgonjwa.Ni walewale tuu
Basi haya.Hivi waTz mbona tunakuwa wajuaji sana na hatujui tunachokitafuta..... kifupi bado adui ujinga ni tatizo,mtu asipowajibika anatukanwa sana,mtu asiposema anachokiamini anaonekana ni muoga.Sasa Polepole kafanya kile anachokiamini wewe unasema ni drama hawezi kuacha asali..........kuna shida sana
Kuamini kivipi wakati kashaacha?Drama ndg.
Unaamini kwamba anaacha asali?
Naunga mkono hojaView attachment 3405400
Balozi Polepole kaonyesha kivitendo maana halisi ya Demokrasia.
Hakutaka kuwa mtu mnafiki, kucheka usoni lakini hukubaliani na yanayotokea hadharani kisiasa.
Kaonyesha kuwa UCHAWA NI DHAMBI ya nafsi.
Kujiuzulu kwake Polepole kutamjengea heshima in the long run.
Bila kuonyesha sababu zake za kujiuzulu, mimi nawaambia wanasiasa wa Tanzani, kujiuzulu ni a BIG STATEMENT.
Kuna mtu hapa kasema atagombea, na baada ya siku mbili akasema hagombei-suluhisho ni kujiuzulu na kuweka mambo wazi.
Unyoofu wa moyo hata katika siasa ni kiyu chema.
Ni kukomaa kisiasa.Naunga mkono hoja
P