DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Akizungumzia suala hilo, Polepole alisema “Wewe ni kiongozi wa umma, lakini simu yako kwenye WhatsApp ukiwa umetumiwa ujumbe hauonekani ‘last seen’, ukiwa ‘online’ hauonekani, na umeweka ‘ticks’ za kijivu (gray) badala ya za buluu (blue) — huo ni ulaghai. Yaani huo ni uhuni. Hapa Cuba wanasema, ‘No aros bandoleros’.”
Kauli hiyo ililenga kuhimiza uwazi na uwajibikaji kwa viongozi wa umma, hasa katika mawasiliano na wananchi wanaowahudumia.
Chanzo: SWAHILI DIGITAL