Polepole: Kiongozi wa Umma ukificha last seen ya WhatsApp, ukiwa ‘online’ hauonekani huo ni uhuni

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole aliwahi kutoa kauli kali kuhusu tabia ya baadhi ya viongozi wa umma kujificha kwenye mitandao ya kijamii, hususan WhatsApp.

Akizungumzia suala hilo, Polepole alisema “Wewe ni kiongozi wa umma, lakini simu yako kwenye WhatsApp ukiwa umetumiwa ujumbe hauonekani ‘last seen’, ukiwa ‘online’ hauonekani, na umeweka ‘ticks’ za kijivu (gray) badala ya za buluu (blue) — huo ni ulaghai. Yaani huo ni uhuni. Hapa Cuba wanasema, ‘No aros bandoleros’.”

Kauli hiyo ililenga kuhimiza uwazi na uwajibikaji kwa viongozi wa umma, hasa katika mawasiliano na wananchi wanaowahudumia.

Chanzo: SWAHILI DIGITAL
 
Mbona ana mind mambo madogo
Ehe usiangalia status sjui ya mtu kosa 😄

Ova
 
Utawajuaje wahuni aliosema tuwakatae Mh. Balozi H. Polepole?
 
Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole aliwahi kutoa kauli kali kuhusu tabia ya baadhi ya viongozi wa umma kujificha kwenye mitandao ya kijamii, hususan WhatsApp.

Akizungumzia suala hilo, Polepole alisema “Wewe ni kiongozi wa umma, lakini simu yako kwenye WhatsApp ukiwa umetumiwa ujumbe hauonekani ‘last seen’, ukiwa ‘online’ hauonekani, na umeweka ‘ticks’ za kijivu (gray) badala ya za buluu (blue) — huo ni ulaghai. Yaani huo ni uhuni. Hapa Cuba wanasema, ‘No aros bandoleros’.”

Kauli hiyo ililenga kuhimiza uwazi na uwajibikaji kwa viongozi wa umma, hasa katika mawasiliano na wananchi wanaowahudumia.

Chanzo: SWAHILI DIGITAL
Yuko sahihi
 
kwahiyo Kila mtu awe mbunge? ili achimbe huo mgodi?

sio Kila mtu anautaman huo ubunge mzee,. Kuna mwingine akiwa kwenye nafasi yakutumikia nchi yake inatosha.
Wewe mwenyewe unaenda kwa waganga ili uwe mbunge, hakuna asiyetamani pesa za bure hazina auditing yoyote
 
Back
Top Bottom