DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Yuko sahihi kwa nchi ya CubaHuyo nae ...
Hayo si masuala binafsi ya mtu na simu yake...
Kitambo alikuwa na msimamo wa serikali 3 alipopewa teuzi aka geukaHuyu shetani acha system imteme naye alikuwa mpumbavu sn enzi ya jiwe
Ni shetani haswaKitambo alikuwa na msimamo wa serikali 3 alipopewa teuzi aka geuka
Ova
System ya UKAWA ndio ilimtema?Huyu shetani acha system imteme naye alikuwa mpumbavu sn enzi ya jiwe
Tulia vinginevyo unatafuta nikushughulikieSystem ya UKAWA ndio ilimtema?
kiongozi system gani iliyomtema? hujui kuwa huyo ndo baloz wa Cuba na kateuliwa na rais??Huyu shetani acha system imteme naye alikuwa mpumbavu sn enzi ya jiwe
Yaani wewe kwako Kila mtu ni shetani isipokuwa MMEO LISSUHuyu shetani acha system imteme naye alikuwa mpumbavu sn enzi ya jiwe
Mbona una hasira dada ? Umeshachukua fomu lakiniHuyo nae ...
Hayo si masuala binafsi ya mtu na simu yake...
Kwani mumeo naye ni shetani?Yaani wewe kwako Kila mtu ni shetani isipokuwa MMEO LISSU
Balozi anasubiri OC kwa mwezi? ubunge ni zaidi ya mgodi wa Mireranikiongozi system gani iliyomtema? hujui kuwa huyo ndo baloz wa Cuba na kateuliwa na rais??
Yuko sahihiBalozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole aliwahi kutoa kauli kali kuhusu tabia ya baadhi ya viongozi wa umma kujificha kwenye mitandao ya kijamii, hususan WhatsApp.
Akizungumzia suala hilo, Polepole alisema “Wewe ni kiongozi wa umma, lakini simu yako kwenye WhatsApp ukiwa umetumiwa ujumbe hauonekani ‘last seen’, ukiwa ‘online’ hauonekani, na umeweka ‘ticks’ za kijivu (gray) badala ya za buluu (blue) — huo ni ulaghai. Yaani huo ni uhuni. Hapa Cuba wanasema, ‘No aros bandoleros’.”
Kauli hiyo ililenga kuhimiza uwazi na uwajibikaji kwa viongozi wa umma, hasa katika mawasiliano na wananchi wanaowahudumia.
Chanzo: SWAHILI DIGITAL
kwahiyo Kila mtu awe mbunge? ili achimbe huo mgodi?Balozi anasubiri OC kwa mwezi? ubunge ni zaidi ya mgodi wa Mirerani
Wewe mwenyewe unaenda kwa waganga ili uwe mbunge, hakuna asiyetamani pesa za bure hazina auditing yoyotekwahiyo Kila mtu awe mbunge? ili achimbe huo mgodi?
sio Kila mtu anautaman huo ubunge mzee,. Kuna mwingine akiwa kwenye nafasi yakutumikia nchi yake inatosha.