mchakavumlasana
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 389
- 212
HAKUNA KITU KAMA HICHO, WEWE NI LI-CHADEMA, TENA HUTUFAI KTK NCHI HII. NENDA HUKO KASKAZINI YENU.
Sent from my SM-E700H using JamiiForums mobile app[
....Bila kusahau kwamba hiki ndicho chama kilichoipindisha nchi ikawa kama seli mundu, jambo ambalo limempa kazi kubwa mkulu kujaribu kuinyoosha nchi na hata Ulaya amekosa nafasi kwenda. Yaani hakuna mtanzania atakayekisahau au ambaye hajaisoma namba kwa ajili ya hiki chama.Whatever man, CCM ni Chama Dola, that's what matters!
huyu mkulu yupo wapiii jamani wanaLUMUMBA?Confirmed from Lumumba ni kwamba kuna kikao kinapangwa kuitishwa na Polepole ( Baada ya kinana kugoma kuitisha na kusimamia kikao hiki) pamoja na mambo mengine kikiwa na ajenda ya kuwajadili Nappe na Bashe.
Kwa nini wanajadiliwa?
imebainika kuwa wabunge hawa wamekuwa wakionyesha dhahiri kupingana na miiko ya chama chetu hasa kwa misimamo yao ndani na nje ya bunge.
Nappe anajadiliwa hasa kwa mwenendo wake ambao kwa Siku za hivi karibuni tokea alipotenguliwa uwaziri, amekuwa akitwiti au kuposti instagramu na kwenye mitandao mingine ya kijamii vitu vyenye utata na hasa akinonyesha dhahiri kupingana na Sera za chama. misimamo yake bungeni pia.
kwa upenda Wa Bashe sitaweza kuelezea sana kwani mtakumbuka kuwa, Bashe ni miongoni mwa wabunge waliowekwa mahali salama kipindi cha mkutano Mkuu Wa chama uliolenga kupindua katiba ya chama na kumpa mamlaka mtukufu kugombea bila kupingwa
lakini pia kinachomponza ni misimamo yake ya ndani na nje ya bunge.
Angalizo
Nikiwa miongoni mwa vijana Wa chama cha mapinduzi nalaani kwa nguvu zote mikakati yote inayofanywa yenye lengo LA kuibuka na adhabu kwa wabunge hawa
Amina...CCM itakufa kifo cha Mende.
Kweli mkuu aende kwenye chadomo yaoHAKUNA KITU KAMA HICHO, WEWE NI LI-CHADEMA, TENA HUTUFAI KTK NCHI HII. NENDA HUKO KASKAZINI YENU.
Sent from my SM-E700H using JamiiForums mobile app
Nnape fukuza akaanzishe chama maana hakuwa na nia ya mabadiliko nakama alikuwa nayo basi Magu ndio jibu ila na Magu anamsumbuwa huyu sio mnyama wala ndege fukuzaConfirmed from Lumumba ni kwamba kuna kikao kinapangwa kuitishwa na Polepole ( Baada ya kinana kugoma kuitisha na kusimamia kikao hiki) pamoja na mambo mengine kikiwa na ajenda ya kuwajadili Nappe na Bashe.
Kwa nini wanajadiliwa?
imebainika kuwa wabunge hawa wamekuwa wakionyesha dhahiri kupingana na miiko ya chama chetu hasa kwa misimamo yao ndani na nje ya bunge.
Nappe anajadiliwa hasa kwa mwenendo wake ambao kwa Siku za hivi karibuni tokea alipotenguliwa uwaziri, amekuwa akitwiti au kuposti instagramu na kwenye mitandao mingine ya kijamii vitu vyenye utata na hasa akinonyesha dhahiri kupingana na Sera za chama. misimamo yake bungeni pia.
kwa upenda Wa Bashe sitaweza kuelezea sana kwani mtakumbuka kuwa, Bashe ni miongoni mwa wabunge waliowekwa mahali salama kipindi cha mkutano Mkuu Wa chama uliolenga kupindua katiba ya chama na kumpa mamlaka mtukufu kugombea bila kupingwa
lakini pia kinachomponza ni misimamo yake ya ndani na nje ya bunge.
Angalizo
Nikiwa miongoni mwa vijana Wa chama cha mapinduzi nalaani kwa nguvu zote mikakati yote inayofanywa yenye lengo LA kuibuka na adhabu kwa wabunge hawa
Nnape fukuza akaanzishe chama maana hakuwa na nia ya mabadiliko nakama alikuwa nayo basi Magu ndio jibu ila na Magu anamsumbuwa huyu sio mnyama wala ndege fukuza
Kweli mkuu aende kwenye chadomo yao
sawa tumekusikia.. na wewe ni miongoni mwa mazombi yanayokesha LUMUMBA au umehama mtaa?Huu muandiko unaonesha wazi wewe ni miongoni mwa wale wanyama wa Serengeti....
Hahahaaaaa,akili ya kukata tamaa!Whatever man, CCM ni Chama Dola, that's what matters!