Tetesi: Polepole Kuitisha Kikao kuwajadili Nape na Bashe, ni baada ya Kinana kugoma

Tetesi: Polepole Kuitisha Kikao kuwajadili Nape na Bashe, ni baada ya Kinana kugoma

Status
Not open for further replies.
Hivi humo ndani inapaswa kila kiyu kiwe ndioooooooooo

Tcha

Mna kazi basi

Bora mje tulime bamia tu

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
ICU case

Sent from my HTC One X using JamiiForums mobile app
 
Kwani polepole kachaguliwa na nani? Hiki cheo si kazi yake kucheza ngoma kwa midomo.
 
Lumumba matumbo joto Kinana kawaacha njia pansa

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Maisha yanaenda kasi sana Nape wa bao la mkono leo ndio wakujadiliwa na ccm?
 
Whatever man, CCM ni Chama Dola, that's what matters!
....Bila kusahau kwamba hiki ndicho chama kilichoipindisha nchi ikawa kama seli mundu, jambo ambalo limempa kazi kubwa mkulu kujaribu kuinyoosha nchi na hata Ulaya amekosa nafasi kwenda. Yaani hakuna mtanzania atakayekisahau au ambaye hajaisoma namba kwa ajili ya hiki chama.
 
Confirmed from Lumumba ni kwamba kuna kikao kinapangwa kuitishwa na Polepole ( Baada ya kinana kugoma kuitisha na kusimamia kikao hiki) pamoja na mambo mengine kikiwa na ajenda ya kuwajadili Nappe na Bashe.

Kwa nini wanajadiliwa?
imebainika kuwa wabunge hawa wamekuwa wakionyesha dhahiri kupingana na miiko ya chama chetu hasa kwa misimamo yao ndani na nje ya bunge.

Nappe anajadiliwa hasa kwa mwenendo wake ambao kwa Siku za hivi karibuni tokea alipotenguliwa uwaziri, amekuwa akitwiti au kuposti instagramu na kwenye mitandao mingine ya kijamii vitu vyenye utata na hasa akinonyesha dhahiri kupingana na Sera za chama. misimamo yake bungeni pia.

kwa upenda Wa Bashe sitaweza kuelezea sana kwani mtakumbuka kuwa, Bashe ni miongoni mwa wabunge waliowekwa mahali salama kipindi cha mkutano Mkuu Wa chama uliolenga kupindua katiba ya chama na kumpa mamlaka mtukufu kugombea bila kupingwa

lakini pia kinachomponza ni misimamo yake ya ndani na nje ya bunge.

Angalizo
Nikiwa miongoni mwa vijana Wa chama cha mapinduzi nalaani kwa nguvu zote mikakati yote inayofanywa yenye lengo LA kuibuka na adhabu kwa wabunge hawa
huyu mkulu yupo wapiii jamani wanaLUMUMBA?
bb4ccd7e03a4f8911b39c7a17b4fb19f.jpg
 
Hivi Pole Pole na nape nani anaijua ccm, mwambieni pole Pole atulie, asije tokea mlango alioingilia

Mnakumbuka siasa za kikwete na mzee mangula, mwisho wa siku kipi kilitokea watu si walienda mpigia magoti mzee mangula aje okoa jahazi kwaiyo pole Pole tulia kabisa
 
Shida wakati mwingine watu tunaaminishwa kutofautiana fikra ni uadui!Tutumie vizuri mbongo zetu.

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Confirmed from Lumumba ni kwamba kuna kikao kinapangwa kuitishwa na Polepole ( Baada ya kinana kugoma kuitisha na kusimamia kikao hiki) pamoja na mambo mengine kikiwa na ajenda ya kuwajadili Nappe na Bashe.

Kwa nini wanajadiliwa?
imebainika kuwa wabunge hawa wamekuwa wakionyesha dhahiri kupingana na miiko ya chama chetu hasa kwa misimamo yao ndani na nje ya bunge.

Nappe anajadiliwa hasa kwa mwenendo wake ambao kwa Siku za hivi karibuni tokea alipotenguliwa uwaziri, amekuwa akitwiti au kuposti instagramu na kwenye mitandao mingine ya kijamii vitu vyenye utata na hasa akinonyesha dhahiri kupingana na Sera za chama. misimamo yake bungeni pia.

kwa upenda Wa Bashe sitaweza kuelezea sana kwani mtakumbuka kuwa, Bashe ni miongoni mwa wabunge waliowekwa mahali salama kipindi cha mkutano Mkuu Wa chama uliolenga kupindua katiba ya chama na kumpa mamlaka mtukufu kugombea bila kupingwa

lakini pia kinachomponza ni misimamo yake ya ndani na nje ya bunge.

Angalizo
Nikiwa miongoni mwa vijana Wa chama cha mapinduzi nalaani kwa nguvu zote mikakati yote inayofanywa yenye lengo LA kuibuka na adhabu kwa wabunge hawa
Nnape fukuza akaanzishe chama maana hakuwa na nia ya mabadiliko nakama alikuwa nayo basi Magu ndio jibu ila na Magu anamsumbuwa huyu sio mnyama wala ndege fukuza
 
Vita vya panzi ni furaha kwa kunguru

Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
 
Unaujua muundo wa CCM na jinsi unavyofanya kazi?
Unamjua MANGULA WEWE?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom