Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Unafikiri kama Msoga gang wasingemtanguliza angeachia kiti hii 2025? Yule alijipanga kuwa Rais wa kudumu ndiyo maana alijaza vilaza bungeni ili wamtengenezee Urais wa kudumu na huyu naye anaelekea huko huko lazima afyatuliwe tuHii ni speculation tu. Hata Magufuli ilisemwa ataendelea baada ya 2025.
Hakuna namna.Sasa itakuwajee 🤔