Polepole: Kuna Watu wanamaslai yao, wamemzunguka Rais watatendelea kusema tena mpaka 2035

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Your browser is not able to display this video.
 
Hii ni speculation tu. Hata Magufuli ilisemwa ataendelea baada ya 2025.
 
Hii ni speculation tu. Hata Magufuli ilisemwa ataendelea baada ya 2025.
Unafikiri kama Msoga gang wasingemtanguliza angeachia kiti hii 2025? Yule alijipanga kuwa Rais wa kudumu ndiyo maana alijaza vilaza bungeni ili wamtengenezee Urais wa kudumu na huyu naye anaelekea huko huko lazima afyatuliwe tu
 
Ataibuka Yule mtangazaji wa TBC aliyekuwa mbunge wa Chemba na Msemaji wa Makolo FC 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…